Wanasheria hawawezi kuwa wamoja hata siku moja!

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,695
Reaction score
1,470
Hizi taaluma mbili sheria na uandishi wa habari zilitumika vibaya tangia enzi za Masihi ( Yesu ) ili kumuangamiza, na kwahiyo zimekosa kibali machoni pa Mungu. Kamwe wanasheria na wanahabari hawatakuwa wamoja bali wataendelea na ujenzi wa mnara wa Babeli. Wataendelea kuwa ngazi za WANASIASA milele yote. Ahsante!
 
First things first, hakuna Mungu.

Sema jingine.
 
Hizi taaluma mbili sheria na uandishi wa habari zilitumika vibaya tangia enzi za Masihi ( Yesu ) ili kumuangamiza, na kwahiyo zimekosa kibali machoni pa Mungu. Kamwe wanasheria na wanahabari hawatakuwa wamoja bali wataendelea na ujenzi wa mnara wa Babeli. Wataendelea kuwa ngazi za WANASIASA milele yote. Ahsante!
Kwel mkuu nao pia wanamawazo yao tofaut

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu moja tu,
LT, hawezi kuitisha mgomo ambao wenzake ndiyo ajira yao wakati yeye anapiga hela za Ubunge, anapiga hela Accacia , anapiga hela kutokana na marupurupu ya CDM.

Halafu, leo ujitoe ufahamu ukagome kwa maslahi ya LT itakuwa ni ujinga wa kiwango cha lami.

Any way, waandishi Njaaaa, ukanjanja na maslahi binafsi ndiyo tatizo.
 
Back
Top Bottom