FINE ZA TRAFFIC

FINE ZA TRAFFIC

Simba Asiyefugika

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2017
Posts
600
Reaction score
239
Mda fulani kulikua na malalamiko kua traffic wanapiga sana fine za makosa ya usalama barabarani hadi watu wakifikia hatua ya kuwaita PRA lkn kwa siku za hivi karibuni naona malalamiko hayo hayapo tena humu JF.
Je ni kwamba watuhumiwa wameahaizoea hiyo Hali au madereva wameamua kutii sheria bila shuruti?
Povu ruksa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aah
Wapuuzi sana...walimkamata jamaa eti leseni imeisha muda wakati kishalipia TRA ndo hawajampatia leseni mpya!

Sent from my TV
 
Back
Top Bottom