princebujonde
Senior Member
- Jan 7, 2013
- 198
- 55
Jijini Arusha Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Jukwaa huru la ubunifu, sayansi na elimu teknolojia maarufu kama TEd- Global talk.
Kwa kuliona hili nikafanya udadisi kidogo kujua sehemu nyingine hasa nchi za Asia na Amerika walilitumiaje jukwaa hli la Ted katika kukuza fikra za ubunifu na kuibua vipaji? nikagundua kuwa wenzetu walinifaidika sana hasa kwenye nyanja za teknolojia- afya, kilimo, utafiti wa vinasaba, nyenzo za kilimo n.k kwa kutoa fursa ya vijana wabunifu kuelezea mawazo yao na jinsi jamii inavoweza nufaika.
Hapo nkapata wazo wakuu hvi wale wabunifu wetu walifikiwa kweli huku mitaani? je, wale vijana wanaopeleka mawazo bunifu yao COSTECH-Tume ya sayansi na kwingineko mchango wao umeonekana kupata platform hii? kuna vijana wengi wana mawazo bunifu kimfumo na kisera lakin sidhan kama wana anuani au rejista yeyote kuwafikia.
Au ndio wageni hawa watakuja kutembelea tuu Mbuga zetu na kuondoka na idea zao na basket fund zao. Nimeona niweke hili wazo wakuu.