Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Naombeni tushare mawazo na mitazamo ni kituo kipi cha matangazo ni bora Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Samson Petro, mwenye umri wa miaka 18 (msukuma) mkazi wa Olasiti, Arusha anatafutwa na Polisi akidaiwa kuhusika na matukio ya utekaji nyara. Kesho zoezi la kumtafuta likaendelea na jioni zikaja...
2 Reactions
63 Replies
14K Views
Habari zenu wahenga! Naandika hapa lakini mikono inatetemeka kwa hasira niliyonayo baada ya kuingia mitandao ya kijamii na kuona dhihaka kubwa inayofanywa na watu ati wanaojiita ni wazalendo...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
..
0 Reactions
0 Replies
3K Views
UTUMISHI WA UMMA MTAACHA LINI KUDHALILISHA WATOTO WA MASKINI. Waraka wa BASHIR YAKUB +255784482959 Kuna haja gani ya kuita watu 30,000 kwenye usaili huku mkijua mnahitaji watu 400 ...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo nimeona maajabu, kituko, jambo la kusikitisha ambalo sikutegemea kuliona katika ofisi ya Serikali Kuu, ofisi ambayo ndio "ikulu" yetu ya Mwanza, ofisi ambayo inamwakilisha Rais. Nimefika...
50 Reactions
233 Replies
19K Views
This is absurd, Ukienda uhamiaji kufanya mchakato wa kupata passport unaulizwa maswali mengi ambayo ni ya msingi sana lakini hili suala la invitation linakera sana. Wanalazimisha watu...
14 Reactions
37 Replies
6K Views
Kijana mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja alikutwa na waumin wa msikiti wa MKURANGA- Mwembechai, Manzese DSM akimlawiti mtoto wa kiume miaka 12 katika vyoo vya msikiti. Angalia...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Umoja na mshikamano katika majeshi ya ulinzi na usalama nchini umetajwa ndiyo njia pekee ya kuondoa tofauti zilizopo baina ya majeshi hayo ambazo hazileti taswira nzuri kwa jamii inayowategemea...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Inaelezwa kuwa sheria za haki za wanyama hutekelezwa sana katika nchi zilizoendelea na kuwa na uamko ndogo katika nchi za Afrika hasa Tanzania. Kwa maana hiyo baadhi watu wanaamini kuwa wanyama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu kuileta PRIVATE JET yake Tanzania ambayo ameinunua Marekani. Kwenye hii video fupi hapa chini Gwajima...
5 Reactions
51 Replies
9K Views
Wakuu habari za jioni Awali ya yote kuna nyumba yangu moja niliezeka kwa bati za msouth sikutumia ghalama sana sasa kuna kuna nyumba moja tena nataka kuezeka kwa kutumia bati za vigae je...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Huo ndo ukwel usio pingika reyvan amelewa sifa na kuanza kuto eshim wakubwa zake hasa Boss wake DIAMOND . USHAIDI ..huu apa nyimbo yake chuma ulete imetengenezwa nje ya studios za wasafi...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Mimi naomba uliza maana hadi leo sielewi. Niliendaga Level 8 ule mziki wa Ijumaa mara moja sijui kwa mwezi, haya kiingilio kilikuwa 20,000tshs, basi mimi mnywa maji nikaambiwa maji ni ya...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Bei ya sukari mkoani Kilimanjaro imeshuka bei kutoka shilingi 3,000 hadi 2,5000 kutokana na kuingizwa kwa sukari kutoka nje ya nchi Ingawa kushuka kwa bei huko kumeleta unafuu kwa wananchi...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Prison warned for disobeying court order on Sethi’s health THE Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam yesterday warned the prosecution and prison authorities for disobeying its...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Sasa ni muda wa Serikali kubadili gia angani, Ni muda wa kuchukua watu wenye division one form Four na Division one Form six, Asiye na vigezo hivyo waondolewe ofsini ili waliofaulu vizuri wabaki...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana JF. Kwanza kabisa naomba niwatakie siku kuu njema ya Eid. Bila kupoteza muda, nilikua nawaza kwa maandishi hivi kweli maudhui ya zile nyimbo za kale bado yana maantiki paka leo? Kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Unaweza amua wapa nishani ya ubunifu haya majambaka....kuna watu wana akili sana huu ubunifu wangeuweka kwenye mambo mengine tungekua mbali sana.
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Ili kuimarisha Ulinzi na Usalama katika Taifa letu, na kwasababu ni jukumu letu wananchi kuhakikisha tunaitunza amani yetu, hizi hapa ni namba za makamanda wa polisi mikoa yote na kanda zote...
2 Reactions
29 Replies
48K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…