Hivi Watanzania mnataka nini?

Hivi Watanzania mnataka nini?

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,096
Reaction score
22,818
Habari zenu wahenga!

Naandika hapa lakini mikono inatetemeka kwa hasira niliyonayo baada ya kuingia mitandao ya kijamii na kuona dhihaka kubwa inayofanywa na watu ati wanaojiita ni wazalendo kumbe ni wanafiki sijapata kuona.

Tukirejea miaka kadhaa hapo nyuma kabla ya ujio wa mheshimiwa raisi john pombe magufuri, raia walikuwa na malalamiko kadha wa kadha ambayo mengi yao ukiyatazama yalionyesha hali ya wao kukata tamaa kutokana na tabia za viongozi wa wakati huo kufanya kila aina ya ufisadi wakilifilisi taifa rasilimali zake kwa kuziuza kwa bei ya kutupa kwa makampuni ya nje bila hata huruma.

Kuna hata baadhi ya hawa hawa wanafiki walifikia hatua ya kusema hatokuja kutokea raisi atakayethubutu kutaka kudai au kurejesha thamani ya rasilimali zetu zilizopotezwa na hawa viongozi wachache wenye ulafi na tamaa za hali ya juu......

Leo hii amekuja kidume.....baba wa taifa part 2, stelingi.....bulldozer ......field marshal, askari shupavu, Jembe, simba dume, kisu cha madini ya chuma cha pua, kambale ndani ya bwawa la vidagaa vibwegebwege.......mheshimiwa raisi john pombe joseph magufuri .......ameamua kufuta lawama kwa kujitoa muhanga na kupambana na wakoloni.....wanaume suruali ambao kazi yao ni kututumua sauti tu ila vitendo ni sifuri kupita maelezo kazi yao nikuwapigia debe mabwana zao wa ulaya utadhani mliambiwa wale ni baba zenu wadogo.......pumbavu sana......

Hivi umeona wapi baba yako anapokuwa kwenye vita na jirani wewe unahamia kwa jirani.......acha ujinga wewe.......hivi magufuri anavyosema hizo bilioni $190 ni aliamka akazitunga kichwani........hivi ninyi tokea miaka yote ile wanachukua madini na kuondoka nayo..... kodi hailipwi si ndio ninyi mlikuwa mnasema kampuni zinakuja bongo zinapiga hela hazilipi kodi zinasepa kimya kimya....sio ninyi nauliza.......WEWE SI NAKUUUULIZA........LIONE KWANZA
....mnatia hasira kinyama wabongo yaaani mnakera sana hamjui tu. Hivi mnadhani sisi hatuna wataalamu wa kodi hapa Tanzania ambao wanaweza kukokotoa kodi na kutoa majibu ya uhakika ya malimbikizo ya kodi na madeni ambayo yameambatanishwa na riba ya kodi......hivi wanavyosema jamaa walikuwa wanachimba bure mlidhani ni nini......mchanga wa ujenzi wa nyumba.....si nawaliza ninyi mlijua wanachimba nini huko migodini?!

Tangu lini mzungu akatia nguvu na uwekezaji sehemu ambapo hakuna tija kwake.......sehemu ambapo hapatamlipa......hivi mnafahamu bei ya soko ya madini dhahabu kwenye masoko ya kimataifa huko duniani

............hivi mnaakili gani nyie watu kutetemekea watu kibwege bwege hadi mnaonyesha dharau za wazi wazi kwa raisi wenu kisha mnamtazama na kumchukulia kirahisi rahisi kuwa anakosea au hana busara kwa anachokifanya.......?!

Ama kweli mfadhili mbuzi utakula mchuzi yaaache matanzania haya yenye mavichwa na akili za kondoo yatawaliwe na wazungu milele amina........

Mimi nasemaje ningekuwa magufuri ningesema sasa nisikie mtu kaongea shit kuhusu mimi kuwadai acacia.....nakuweka ndani hadi nimalize uongozi mbwa kabisa........hivi nyie hawa wazungu wamewapa nini hadi mnawaona ni miungu wenu wakuwaogopa na kuwasikiliza kila wanachosema....hivi nyie mnajua huko duniani sisi ni kituko kwasababu ya ukondoo......nenda marekani pale fungua hata banda la chipsi uone balaa lake tra wa kule watakachokufanya......watakudai hadi kodi ya nywele kenge wewe.......

Sasa wao ni wakina nani waje hapa na kuchukua madini kirahisirahisi kisha wasepe kama as if nchi ni ya baba yao......pumbavu sana.......acheni upuuzi ninyi raia......

Kama hauna wazo la kusappot juu ya hili lililotokea kaaa kimya fanya maisha yako kama wengine tunavyofanya......magufuri hadai hizo pesa ili akale na familia yake anadai kwaajiri yako na mimi. Hata kama walioweka rehani hayo madini ni viongozi ambao yeye alikuwa nao serikali moja na chama kimoja mnaaanzaje kumwambia yeye anahusika......majitu majinga kabisa ninyi.....hivi ni lini mlisikia raisi magufuri alishawahi kuwa kwenye wizara au hata kamati ya wizara au hata tume ya wizara ya nishati na madini......ni lini yeye alihusika kwenye kutia sahihi hiyo mikataba......hivi wakati wabunge kama mh. Zitto kabwe, mh. Mnyika, mhm kafulila, na wengineo walipokuwa wakilalamikia madini na sheria za uwekezaji eneo la nishati na madini mlishasikia mheshimiwa raisi John Pombe Magufuri amelalamikiwa....?!

Hebu pevukeni basi kabla hamjakaa na kusema kuwa raisi anakosea na ataitia mashakani na hasara nchi yetu hebu jithiminini kuwa mnayemtetea anawahusu kwa lipi nyie vilaza msio na adabu wala utu na taifa lenu.........hapa iwe isiwe....raia wote tunasimama upande wa raisi wetu John pombe magufuri.....tupa vyama vyako kule hapa hajavaa sura ya chama yupo hapa kwaajiri ya taifa....hayo madini hasara yake si ya ccm ni ya TANZANIA yote kwa ujumla.......kama hakukuwahi kutokea taifa fukara na masikini lililowadindia hawa mabeberu basi wacha sisi tutengeneze historia na rekodi hiyo kwa mara ya kwanza....si vibaya tukithubutu......

Mheshimiwa Raisi, pambana mzee wetu sipo hapa kama mwanachama wa chama chako nipo hapa kama raia mzalendo.....tunasimama pamoja na wewe.......atakayeleta fyoko fyoko wewe tumia jeshi la polisi sweka ndani huyo si mtanzania mzalendo......kama anataka kuutumia uhuru wa kuongea autumie kukosoa kwa adabu na alete solution sio ulalamishi kama mwanamke kanyimwa pesa........

[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

YAAANI MITANZANIA HAITOKAA KUJA KUTOKA KATIKA UMASIKINI WA AKILI.....MIJITU MIJINGA SIJAWAHI KUONA.........YAANI MTU ANAKOSA USINGIZI KUWAKINGIA KIFUA BADALA YA KUWA POSITIVE MNAMSHAMBULIA KWA MANENO YA DHIHAKA NA KEJELI HIVI HAMJUI NA YEYE NI MWANADAMU ANATAKIWA KUPEWA USHIRIKIANO WA AKILI, ROHO,MAWAZO NA FIKRA.......MSYUUUUUUUUU

SONY Xperia Z5 Premium
 
Hata sisi ni wanadamu tunatakiwa tupewe ushirikiano na heshima, sio kila mkisimama majukwaani mtutukane na kutusimanga, viongoz ndio wamekuwa mifano ya kuwashambulia watu kwa maneno machafu, wawe na busara za kiuongoz ili waheshimiwe na kupewa support.

Halaf sio lazima kila mtu asapot kila anachofanya kiongoz, hyo ni personal issue.

Wao watumie kwa busara madaraka yao ili nasisi tutumie kwa busara uhuru wetu wa kuongea, kiongoz ndo mfano, sisi tunawaiga wao tu so usilalame sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi umeona wapi baba yako anapokuwa kwenye vita na jirani wewe unahamia kwa jirani.......acha ujinga wewe.......hivi magufuri anavyosema hizo bilioni $190 ni aliamka akazitunga kichwani.......ama kweli mfadhili mbuzi utakula mchuzi yaaache matanzania haya yenye mavichwa na akili za kondoo yatawaliwe na wazungu milele amina........

Kama hauna wazo la kusappot juu ya hili lililotokea kaaa kimya fanya maisha yako kama wengine tunavyofanya......magufuri hadai hizo pesa ili akale na familia yako anadai kwaajiri yako na mimi. Hata kama walioweka rehani hayo madini ni viongozi ambao yeye alikuwa nao serikali moja na chama kimoja mnaaanzaje kumwambia yeye anahusika......majitu majinga kabisa ninyi.....hivi ni lini mlisikia raisi magufuri alishawahi kuwa kwenye wizara au hata kamati ya wizara au hata tume ya wizara ya nishati na madini......ni lini yeye alihusika kwenye kutia sahihi hiyo mikataba......hivi wakati wabunge kama mh. Zitto kabwe, mh. Mnyika, mhm kafulila, na wengineo walipokuwa wakilalamikia madini na sheria za uwekezaji eneo la nishati na madini mlishasikia mheshimiwa raisi John Pombe Magufuri amelalamikiwa....?!

Vitabu vitakatifu vilituasa kuwa na kiasi kwa kila jambo, ndio maana hata wana wa Israel walidai mfalme baada ya kuwa chini ya Majaji/waamuzi kwa muda mrefu, wenzetu wazungu hili wanalijua ndio maana hata vyama hutawala kwa kupishana, kupitia mada yako kuna mambo yafuatayo:
1.Watanzania yawezekana wameuchoka mfumo wa sasa

2.Inawezekana watawala WANATENDA bila KIASI, kwa kawaida ukitenda bila kiasi jambo lolote hata liwe zuri binadamu ana tabia ya kuchoka

Hahahahaaaaaa!! Maelezo meeeengi halafu kinyesi kitupu,
Ntakujibu hivi, pamoja na kwamba watanzania hawaelewi wana taka nini lakini hawakuwa wakitaka kiongozi mnafiki na mkandamizaji wa demokrasia hahhaaaaa anaongea kwa uchungu wa hali ya juu utadhani kweli anaumia toka rohoni lakini kwa matendo yake tu kumbe anawahadaa wajinga.
 
Mkuu natamani nilie na wewe.... Likini kama wanadamu wanamnafikia mpaka Mungu sasa huoni ni shida kwelikweli... Cha msingi ni kufanya what is right na kupita hivi coz ukitaka mibinadamu iridhike kwakweli hairidhikagi daima.. Huoni mingine imepewa tobo moja kwa matumizi, hawajaridhika nalo siku hizi wanataka kutumia kila tobo... Yani cha msingi tunaoona umuhimu wa huyu rais Mungu aliyetupa tumuuenge tu mkono no matter what... After all kitu kizuri na cha thamani hutambuliwa na wachache walio makini....

Wewe siyo mtanzania?
Kama ni MTANZANIA mbona unaji-exclude?
Wewe unataka nini?

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
 
Hata sisi ni wanadamu tunatakiwa tupewe ushirikiano na heshima, sio kila mkisimama majukwaani mtutukane na kutusimanga, viongoz ndio wamekuwa mifano ya kuwashambulia watu kwa maneno machafu, wawe na busara za kiuongoz ili waheshimiwe na kupewa support.

Halaf sio lazima kila mtu asapot kila anachofanya kiongoz, hyo ni personal issue.

Wao watumie kwa busara madaraka yao ili nasisi tutumie kwa busara uhuru wetu wa kuongea, kiongoz ndo mfano, sisi tunawaiga wao tu so usilalame sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe unadhani raisi ni diamond platinum na yuko pale kuuza sura si ndio......akusikilize kwa lipi ambalo umezungumza kama wewe binafsi......unaona sasa huu ujinga wako unaoongea......yaani kichwani sifuri kabisa.....sasa wewe kwa akili yako raisi anaweza kufanya kila unachotaka.....hivi wewe umeshawahi kuwa hata monitor wa darasa uone ilivyokazi kumridhisha kila mtu....sembuse raisi kuongoza nchi .....hebu pevuka kidogo......na unaonyesha ndio wale wale .....kama ni mwanaume basi ulikuwa unapewa support ya kiuchumi kama sio na kaka zako basi wazazi au ndugu na shemeji na kama ni mwanamke basi ni pesa za mabuzi zimekata na hiyo ndio ajenda yako kuu kuwa magufuri amekuharibia maisha.......bure kabisa nakusikitia.....hebu jielimishe halafu achakutumia mistari ya watu kujenga hoja yako binafsi....tafakari na kuwa realistic.......shuwaini

SONY Xperia Z5 Premium
 
Hahahahaaaaaa!! Maelezo meeeengi halafu kinyesi kitupu,
Ntakujibu hivi, pamoja na kwamba watanzania hawaelewi wana taka nini lakini hawakuwa wakitaka kiongozi mnafiki na mkandamizaji wa demokrasia hahhaaaaa anaongea kwa uchungu wa hali ya juu utadhani kweli anaumia toka rohoni lakini kwa matendo yake tu kumbe anawahadaa wajinga.
Cheki jinga jingine hili hapa......hivi wewe umeingiza shilingapi hadi sasa hivi......maaana huwa sibishani na watu wenye mwili wa mtu mzima ila akili za mtoto......!

SONY Xperia Z5 Premium
 
Mkuu natamani nilie na wewe.... Likini kama wanadamu wanamnafikia mpaka Mungu sasa huoni ni shida kwelikweli... Cha msingi ni kufanya what is right na kupita hivi coz ukitaka mibinadamu iridhike kwakweli hairidhikagi daima.. Huoni mingine imepewa tobo moja kwa matumizi, hawajaridhika nalo siku hizi wanataka kutumia kila tobo... Yani cha msingi tunaoona umuhimu wa huyu rais Mungu aliyetupa tumuuenge tu mkono no matter what... After all kitu kizuri na cha thamani hutambuliwa na wachache walio makini....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani tupo wachache sana ambao tunaweza kuona anachofanya mheshimiwa raisi......hiki kizazi bora kile cha akina mkwawa walikuwa wanateseka kosa lao hawalijua na hata hawajui chakufanya.....si haya majinga ya siku hizi yanaoyokopi na kupesti fikra za matapishi za kupewa hata macho hayaoni kuwa yanatetewa kazi kutumia akili za kuazimwa....

SONY Xperia Z5 Premium
 
Habari zenu wahenga!

Naandika hapa lakini mikono inatetemeka kwa hasira niliyonayo baada ya kuingia mitandao ya kijamii na kuona dhihaka kubwa inayofanywa na watu ati wanaojiita ni wazalendo kumbe ni wanafiki sijapata kuona.

Tukirejea miaka kadhaa hapo nyuma kabla ya ujio wa mheshimiwa raisi john pombe magufuri, raia walikuwa na malalamiko kadha wa kadha ambayo mengi yao ukiyatazama yalionyesha hali ya wao kukata tamaa kutokana na tabia za viongozi wa wakati huo kufanya kila aina ya ufisadi wakilifilisi taifa rasilimali zake kwa kuziuza kwa bei ya kutupa kwa makampuni ya nje bila hata huruma.

Kuna hata baadhi ya hawa hawa wanafiki walifikia hatua ya kusema hatokuja kutokea raisi atakayethubutu kutaka kudai au kurejesha thamani ya rasilimali zetu zilizopotezwa na hawa viongozi wachache wenye ulafi na tamaa za hali ya juu......

Leo hii amekuja kidume.....baba wa taifa part 2, stelingi.....bulldozer ......field marshal, askari shupavu, Jembe, simba dume, kisu cha madini ya chuma cha pua, kambale ndani ya bwawa la vidagaa vibwegebwege.......mheshimiwa raisi john pombe joseph magufuri .......ameamua kufuta lawama kwa kujitoa muhanga na kupambana na wakoloni.....wanaume suruali ambao kazi yao ni kututumua sauti tu ila vitendo ni sifuri kupita maelezo kazi yao nikuwapigia debe mabwana zao wa ulaya utadhani mliambiwa wale ni baba zenu wadogo.......pumbavu sana......

Hivi umeona wapi baba yako anapokuwa kwenye vita na jirani wewe unahamia kwa jirani.......acha ujinga wewe.......hivi magufuri anavyosema hizo bilioni $190 ni aliamka akazitunga kichwani........hivi ninyi tokea miaka yote ile wanachukua madini na kuondoka nayo..... kodi hailipwi si ndio ninyi mlikuwa mnasema kampuni zinakuja bongo zinapiga hela hazilipi kodi zinasepa kimya kimya....sio ninyi nauliza.......WEWE SI NAKUUUULIZA........LIONE KWANZA
....mnatia hasira kinyama wabongo yaaani mnakera sana hamjui tu. Hivi mnadhani sisi hatuna wataalamu wa kodi hapa Tanzania ambao wanaweza kukokotoa kodi na kutoa majibu ya uhakika ya malimbikizo ya kodi na madeni ambayo yameambatanishwa na riba ya kodi......hivi wanavyosema jamaa walikuwa wanachimba bure mlidhani ni nini......mchanga wa ujenzi wa nyumba.....si nawaliza ninyi mlijua wanachimba nini huko migodini?!

Tangu lini mzungu akatia nguvu na uwekezaji sehemu ambapo hakuna tija kwake.......sehemu ambapo hapatamlipa......hivi mnafahamu bei ya soko ya madini dhahabu kwenye masoko ya kimataifa huko duniani

............hivi mnaakili gani nyie watu kutetemekea watu kibwege bwege hadi mnaonyesha dharau za wazi wazi kwa raisi wenu kisha mnamtazama na kumchukulia kirahisi rahisi kuwa anakosea au hana busara kwa anachokifanya.......?!

Ama kweli mfadhili mbuzi utakula mchuzi yaaache matanzania haya yenye mavichwa na akili za kondoo yatawaliwe na wazungu milele amina........

Mimi nasemaje ningekuwa magufuri ningesema sasa nisikie mtu kaongea shit kuhusu mimi kuwadai acacia.....nakuweka ndani hadi nimalize uongozi mbwa kabisa........hivi nyie hawa wazungu wamewapa nini hadi mnawaona ni miungu wenu wakuwaogopa na kuwasikiliza kila wanachosema....hivi nyie mnajua huko duniani sisi ni kituko kwasababu ya ukondoo......nenda marekani pale fungua hata banda la chipsi uone balaa lake tra wa kule watakachokufanya......watakudai hadi kodi ya nywele kenge wewe.......

Sasa wao ni wakina nani waje hapa na kuchukua madini kirahisirahisi kisha wasepe kama as if nchi ni ya baba yao......pumbavu sana.......acheni upuuzi ninyi raia......

Kama hauna wazo la kusappot juu ya hili lililotokea kaaa kimya fanya maisha yako kama wengine tunavyofanya......magufuri hadai hizo pesa ili akale na familia yake anadai kwaajiri yako na mimi. Hata kama walioweka rehani hayo madini ni viongozi ambao yeye alikuwa nao serikali moja na chama kimoja mnaaanzaje kumwambia yeye anahusika......majitu majinga kabisa ninyi.....hivi ni lini mlisikia raisi magufuri alishawahi kuwa kwenye wizara au hata kamati ya wizara au hata tume ya wizara ya nishati na madini......ni lini yeye alihusika kwenye kutia sahihi hiyo mikataba......hivi wakati wabunge kama mh. Zitto kabwe, mh. Mnyika, mhm kafulila, na wengineo walipokuwa wakilalamikia madini na sheria za uwekezaji eneo la nishati na madini mlishasikia mheshimiwa raisi John Pombe Magufuri amelalamikiwa....?!

Hebu pevukeni basi kabla hamjakaa na kusema kuwa raisi anakosea na ataitia mashakani na hasara nchi yetu hebu jithiminini kuwa mnayemtetea anawahusu kwa lipi nyie vilaza msio na adabu wala utu na taifa lenu.........hapa iwe isiwe....raia wote tunasimama upande wa raisi wetu John pombe magufuri.....tupa vyama vyako kule hapa hajavaa sura ya chama yupo hapa kwaajiri ya taifa....hayo madini hasara yake si ya ccm ni ya TANZANIA yote kwa ujumla.......kama hakukuwahi kutokea taifa fukara na masikini lililowadindia hawa mabeberu basi wacha sisi tutengeneze historia na rekodi hiyo kwa mara ya kwanza....si vibaya tukithubutu......

Mheshimiwa Raisi, pambana mzee wetu sipo hapa kama mwanachama wa chama chako nipo hapa kama raia mzalendo.....tunasimama pamoja na wewe.......atakayeleta fyoko fyoko wewe tumia jeshi la polisi sweka ndani huyo si mtanzania mzalendo......kama anataka kuutumia uhuru wa kuongea autumie kukosoa kwa adabu na alete solution sio ulalamishi kama mwanamke kanyimwa pesa........

[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

YAAANI MITANZANIA HAITOKAA KUJA KUTOKA KATIKA UMASIKINI WA AKILI.....MIJITU MIJINGA SIJAWAHI KUONA.........YAANI MTU ANAKOSA USINGIZI KUWAKINGIA KIFUA BADALA YA KUWA POSITIVE MNAMSHAMBULIA KWA MANENO YA DHIHAKA NA KEJELI HIVI HAMJUI NA YEYE NI MWANADAMU ANATAKIWA KUPEWA USHIRIKIANO WA AKILI, ROHO,MAWAZO NA FIKRA.......MSYUUUUUUUUU

SONY Xperia Z5 Premium
NILIKUWA NAKUSUBIRIA ,KWELI WATU WAMEKUWA HAWAJIELEWI
 
Cheki jinga jingine hili hapa......hivi wewe umeingiza shilingapi hadi sasa hivi......maaana huwa sibishani na watu wenye mwili wa mtu mzima ila akili za mtoto......!

SONY Xperia Z5 Premium

Vitabu vitakatifu vilituasa kuwa na kiasi kwa kila jambo, ndio maana hata wana wa Israel walidai mfalme baada ya kuwa chini ya Majaji/waamuzi kwa muda mrefu, wenzetu wazungu hili wanalijua ndio maana hata vyama hutawala kwa kupishana, kupitia mada yako kuna mambo yafuatayo:
1.Watanzania yawezekana wameuchoka mfumo uliopo
2.Inawezekana watawala WANATENDA bila KIASI, kwa kawaida ukitenda bila kiasi jambo lolote hata liwe zuri binadamu ana tabia ya kuchoka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe siyo mtanzania?
Kama ni MTANZANIA mbona unaji-exclude?
Wewe unataka nini?

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
Haujasoma vizuri hiyo post ungeona nilipodeclare utanzania na uzalendo wangu.....mimi ninajitofautisha na ninyi ambao kila kitu mnatafuta pa kupinga badala ya kujenga

SONY Xperia Z5 Premium
 
NILIKUWA NAKUSUBIRIA ,KWELI WATU WAMEKUWA HAWAJIELEWI
Kabisa......na ukiona mtu anapinga kila kitu anatafuta pa kutoa dosari huyo mtu anakuwa anaasili ya udhaifu na yeye ni sehemu ya uzembe au kufeli kwa jambo analokukatalia.......watanzania wengi wana nature ya uvivu wa mwili na akili.

SONY Xperia Z5 Premium
 
Back
Top Bottom