Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,750
Eti waheshimiwa kuna izi id zinaishia na tz mfano Michaeltz,Tundulissutz, Harmonizetz Je Hizi id kwa lugha na mtizamo rahisi hazina chembe za uhuni ndani yake?
nikiwa na maana kwamba unaeza kutumia Email yako Official ilioishia na tz? mfano Jefftz@outlook.com? je haitoonekana ya kihuni zaidi labda ya kutumia Jeffibunga@outlook.com