Basi la Sadja likitokea Mbeya Kwenda Songea limepata ajali

Basi la Sadja likitokea Mbeya Kwenda Songea limepata ajali

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,944
Reaction score
63,719
Ajali mbaya imetokea bus aina ya SADJA likitokea Mbeya kwenda Songea. Watu kadhaa wamejeruhiwa hakuna aliye fariki.

Poleni ndugu zangu mliopatwa na ajali ya basi maeneo ya Kifanya, M/Mungu muweza yote awape nafuu majeruhi wote. Kama kuna ndugu yako alikuwa anasafiri toka Mbeya kwenda Songea kwa kutumia Sadja mtafute ila wote wapo salama,
[HASHTAG]#Hakikisha[/HASHTAG] unajikabidhi mbele ya M/Mungu kwa kila jambo ulitendalo.
a06f38ca25e1c46b4ce96e1368a4b7dd.jpg
175625eda38f62d23202d0eb9ba0d002.jpg
29f14e4f03e616c978705654e29e87ee.jpg
 
Pole nyingi ziwafikie majeruhi, Mungu awape nafuu wapone haraka
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbona leo ajali ni nyingi sana, sijui Adventure kutoka Mwz kwenda Mpanda.
Halafu simwelewi mleta mada mana hii ni thread ya pili kuhusiana na ajali sasa inanipa ukakasi kidogo picha zinaonyesha mchana yeye anasema hivi punde..!!
 
Duuuuh mwenyewe basi atapagawa hizi basi si zimeanza kazi karibuni tu, ni mpya
 
Ajali mbaya imetokea bus aina ya SADJA likitokea Mbeya kwenda Songea. Watu kadhaa wamejeruhiwa hakuna aliye fariki.

Poleni ndugu zangu mliopatwa na ajali ya basi maeneo ya Kifanya, M/Mungu muweza yote awape nafuu majeruhi wote. Kama kuna ndugu yako alikuwa anasafiri toka Mbeya kwenda Songea kwa kutumia Sadja mtafute ila wote wapo salama,
[HASHTAG]#Hakikisha[/HASHTAG] unajikabidhi mbele ya M/Mungu kwa kila jambo ulitendalo.
a06f38ca25e1c46b4ce96e1368a4b7dd.jpg
175625eda38f62d23202d0eb9ba0d002.jpg
29f14e4f03e616c978705654e29e87ee.jpg
Wakiwekewa Toch kelele ,!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom