mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 957
Nina ka gelo friend kangu karembo lakini kamdomo kake kananuka kama mamba.hali hii inaninyima raha sana ingawa nakapenda.mara kibao kananisemea mdomoni oooooh dear hapo ndiyo huwa nazimia kabisa.halafu hakajuagi kujiongeza hata kununua bablish.Lakini hii sio kwa wasichana tu.hata wanaume midomo yao ukichanganya na fegi unalewa kabisa.ni vyema kuchukua xtra care ya midomo.hakika mdomo usiooshwa kwa usahihi sawa na shimo kama mifereji mingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app