Ruzuku ya ccm ilipe fidia na madeni

Ruzuku ya ccm ilipe fidia na madeni

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,281
Hivi hizi hasara ambazo taifa linabeba kutokana na ukurupukaji wa ccm na kuingia mikataba ya kinyonyaji kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi mfano ukurupukaji kwenye samaki wa magufuli, ukurupukaji kwenye mkataba wa ujenzi , ukurupukaji kwenye makinikia .......orodha ndefu sn.
Nilichukia sn siku moja magufuli aliuliza"hivi watz nani katuroga?" Wkt anajua fika washirikina wa taifa hili ni yeye na ccm....
KWA NN ccm WASILAZISHWE NA WATZ WALIPE WENYEWE KWA KUTUMIA RUZUKUWANAZOPATA BADALA YA KIWABEBESHA MZIGOWATZ?
 
Uzi wako hauna mashiko zaidi ya uchochezi,[emoji87][emoji87] nyani we
 
Bahati mbaya rais anawachukia wapinzani ambao ndo wazalendo kwa sababu walikataa kupitisha mikataba ya madini kwa hati ya dharura lkn pia wanaibua ufisadi wa aina zote ambao hatukuwahi kuusikia.........eti tena wahalifu ccm ndo wazalendo............XIIIIIIIUUUUUUUUUUUUUU!!!!
 
Back
Top Bottom