Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika Baraza la Iddi leo hapo Bungoni Umoja wa Misikiti ya Ilala wakisoma Risala yao kwa Mgeni Rasmi Dr Hussein Ally Mwinyi kuhusu Huduma wanazozitoa kwa jamii ya watanzania upande wa Elimu na...
10 Reactions
75 Replies
6K Views
UZEMBE NA VIBURI VYA WAFANYAKAZI WA HINDU MANDAL POSTA HAUVUMILIKI. Kitengo cha mapokezi ni wazembe mno, nimempeleka mwanangu hospital akiwa mgonjwa sana, nikahitaji Huduma ya Emergence...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
1. SIMU 2. REDIO 3. TV 4. MWANAMKE •Hiyo namba 4 ukitaka ifike haraka zaidi mwambie 'nimekwambia wewe usimwambie mtu mwingine' Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
KAMPUNI ya madini ya Petra Diamonds imegundua aina adimu ya almasi ya rangi ya pinki yenye uzito wa karati 23.16 kutoka mgodi wake wa Williamson uliopo Mwadui, Shinyanga. Kwa mujibu wa taarifa ya...
1 Reactions
47 Replies
15K Views
Kama title inajieleza ni vipi naweza kuwa mzalendo wa nchi yangu? Naombeni msaada
0 Reactions
17 Replies
2K Views
User mannual nyingi zimewekwa kwa ajili ya Non-technical personnel na nyingi zipo kwa lugha ya kiingereza Hata kama ni kichina zitatafsiriwa. Lakini unakuta mtu anaagiza security camera kwa...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika kukaa na mzazi huwa kuna maneno aliyiwahi kukuambia hakika huwezi kuyasahau .... Mimi upande wangu wazazi wangu walikuwa wakiniambia sana kuhusu kusoma lakini sikuwa makini katika hiloo...
4 Reactions
85 Replies
9K Views
Kwa mara ya kwanza tangia nizaliwe, nimeingia katika Court, court nilioingia ni ya mahakama ya Kisutu. Niliingia Jumatano iliyopita nilikwenda kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa Simba SC...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za humu ndani wakuu. Kwanza kabisa tumekuwa tukisikia kwamba nchi fulani imewekewa vikwazo na Marekani. Na baada ya muda unasikia nchi hiyo imeanza kuyumba kiuchumi na mambo mengine mengi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
1.Shabiki Mnazi wa Manchester United ajiua kwa kujitosa Baharini baada ya Kichapo cha Arsenal 2. 3. Bila kusahau kesi zaidi ya tatu ya mashabiki wa Arsenal kujinyonga huko Kenya Sasa...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi vidoti vyeusi kwenye ngozi vinaashiria nini,nadhani kila mtu kazaliwa navyo,kuna watu huwa wanavihusisha na imani za kichawi wajuziii mtuelezeee
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Limetokana na herufi nchi hizi mbili kila upande zimetoa herufi (4) TANGANYIKA, ZANZIBAR sasa angalia kupatikana neno TANZANIA (T)anganyika t(A)nganyika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watu hawana pesa, watu wanabomolewa nyumba zao huku viongozi wengine wakilaani na wengine wakisema wanasimamia sheria,.. Wengine wana notes ya mahakama, lakini nyumba zinabomolewa..... Wananchi...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Hivi Majina ya Jecha na Lubuva Asili yake ni Wapi Vile? Nauliza hivi kwa sababu jamaa mmoja mtaani kwetu amepewa masharti na mwanamke wake kuwa, anaweza kuwaita watoto wao mapacha (waliozaliwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Rukwa, imefanya msako maalumu wa kukagua mabasi ya abiria na magari ya mizigo ambayo hayajalipiwa stika za taasisi hiyo na kuchunguza iwapo wanachukua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ebana, kila sehemu yenye tochi sasa hivi naona maaskari wa usalama barabarani wana magari binafsi tena mapya, mazuri! Huku walimu na madaktare wakihangaika na mikopo na vikoba na ufugaji wa...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu Baada ya clouds media group kuuanza msimu mpya wa fiesta 2017, kawaida yao huwa na kitu kinaitwa fursa ambayo kwa mujibu wao wenyewe sasa ni mwaka wa tano tangu fursa ianzishwe Leo...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Karibu sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Naona Mungu nae ameamua kutuacha tupambane na hali zetu.
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Mh. Rais yawezekana alikuwa na nia nzuri lakini sidhani kama alifanya utafiti juu ya mapungufu na ubora wa udahili kupitia TCU kwa kutumia CAS (Centrel Admission System). Je anafahamu na anaelewa...
16 Reactions
176 Replies
14K Views
Back
Top Bottom