Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Morning, Napenda niende straight kwenye tatizo Mimi nilala mwenyewe (self contained room) ambacho kwa sasa kipo kwenye marekebisho kadhaa so kipo wazi tatizo leo ni mara ya pili hichi kitu...
7 Reactions
185 Replies
15K Views
Wajumbe habarini za jioni? Katika shughuli zangu za kila siku nalazimika kufanya booking ya mikutano na Managers, CEO, CFO, MD's wa makampuni na mashirika mbali mbali. Jambo la ajabu nikwamba...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Tafadhari rejea kichwa cha habari hao juu,,,,,, Sisi watumishi wa kada ya afya tunao lipwa mishahara na wizara ya afya, Yapata miezi mitano sasa, tunafanya kazi bila mishahara, Kupitia jukwaa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Bila shaka mtakua wazima wa afya wana JF! Leo nimeona ni vizuri kushea stori ambayo kwa kiasi fulani ni maarufu na ya kushangaza kidogo ijulikanayo kama "mti na baskeli" kama ulikua huijui basi...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
hello wanajamii, Nadhani mkuu wa mkoa wetu, anajitahidi kwa kuwa na maono ya jinsi Dar yetu iweje, Mie naona,kitu anachokikosa ni ufundi/technicality pamoja na Finances tusaidiane kumpa...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Serikali umezindua issue ya card za matibabu ya wazee wakati hata issue ya vitambulisho vya taifa haijaisha.Hospital zenyewe hazina madawa sasa hao wazee sijui matibabu watapata vipi.Acheni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninaandika hili kuchangia mawazo kwa mamlaka husika kwani kama hamna taarifa mfahamu kuwa hii ya kulala njiani kwa abiria katika safari za mikoani kuhusisha Dar ni kero kubwa sana na inasababisha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jf.Nauliza gharama za kufanya mazoezi ya kupunguza uzito gym ni sh.ngapi? Na ni gym zipi zilizo karibu na posta?
0 Reactions
40 Replies
16K Views
Baadhi ya waliobomolewa nyumba zao ili kupisha upanuzi wa barabara jijini Dar Es Salaam chini ya mradi wa DMDP wameanza kulipwa fidia zao hivi leo ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya serikali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
*TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WALIOOMBA MKOPO TANZANIA 2017/2018* Mtandao wa Wanafunzi Tanzania, (TSNP), unapenda kuwajulisha wanafunzi wote walioomba mikopo ya kuwa, tunakusanya maoni juu ya...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Zifuatazo ni sifa za Mtu aliye Elimika Haogopi Anajiamini Hayumbishwi Kuuwawa Kwake ni sehemu ya Uzalendo wake kwa nchi aliyopo Ana maamuzi ya mwisho na ya Kishujaa Msikivu na makini mbele ya...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Rose Kamili ameibana Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu kwa kuhifadhi vifaa muhimu vya matibabu katika bohari ambayo haina vigezo vinavyotakiwa ikiwemo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Nawasalimu Sisi wakulima wa Songea tumemkosea nini Raisi ? Mwaka jana tulilima zao la mbaazi kwani msimu ule tuliuza kwa shilingi 2000 leo hii tunazunguka nazo tu hata aliekua ananunua...
6 Reactions
75 Replies
7K Views
wana JF, Katika kazi ngumu ambayo mfanyabiashara anakutana nayo ni vikwazo vya kodi za awali kutoka TRA, mamlaka ya kodi imeandaa kodi za miezi mitatu mitatu ndipo upeleke kodi, ikitokea wewe...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtu anapokuwa ameoa au kuolewa; maana yake ameamua kutulia na mpenzi wake kihalali; lakini kutokana na tamaa, uaminifu katika ndoa limekuwa swala gumu sana; Swali; Je, utafanyaje ikitokea Katika...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini nimekosa majibu. Mbona watoto wa JPM hawajulikani kulinganisha na watoto wa JK Sote tunakumbuka jinsi ambavyo watoto wa JK hasa mh...
4 Reactions
100 Replies
84K Views
Polisi Mkoani Geita wanamshikilia kijana Samson Petro (18) mkazi wa Katoro wilayani Geita mkoani hapa Kwa tuhuma za kuteka watoto katika mikoa ya Arusha na Geita Kijana huyo amekamatwa usiku wa...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
ALLY BADI- LINDI BAADHI ya wanaume wa Kata ya Kilolambwani wilayani Lindi wamelalamika kuteswa na wake zao kwa kuwashurutisha kufanya kazi kinyume na imani za dini. Wakizungumza kwa niaba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KAIMU Mkuu wa Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, Dk Halfani Haule ametaka makaburi yote walipozikwa watu wenye ulemavu wa ngozi yajengwe vizuri na taarifa muhimu za marehemu ziandikwe vizuri kwenye...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Back
Top Bottom