Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
hello wanajamii,
Nadhani mkuu wa mkoa wetu, anajitahidi kwa kuwa na maono ya jinsi Dar yetu iweje,
Mie naona,kitu anachokikosa ni ufundi/technicality pamoja na Finances
tusaidiane kumpa support,
I just think,afungue charity yake,ambayo itawork independently from the government.
Atafute volunteers wa skills tofauti,kama alivyowapata madoctors wa kucheki afya once per year,ndivyo hivyo atafute watu wa skills nyingine,mfano engineers,watu wa research and marketing,wawepo kwenye kamati yake,
Afungue number/hotline watu wachangie hata kwa M-Pesa,
nimeona hili wazo litamfaa sana,
sababu itampa power,kumake decisions yeye kama mkuu,
afanye nini kutumia resources alizonazo,kuimplement wazo lake
sio sasa hivi
Mpaka apewe 'ruhusa' kutoka juu,
na saa nyingine hamna hela kutoka kwenye serikali,
so anakuwa stuck,
Mnamkejeli,sababu hamjui kuwa wapi anakwama,
trust me,Makonda akianzisha Charity,DAR yetu itapendeza.