Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati gharama ya kodi, umeme na maji kuwa bado changamoto leo watu serikali ya mitaa wamepita wanasema kesho ni deadline kunagharama ya ulinzi shirikishi sasa polisi wanafanyakazi gani? Kodi...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Wanasayansi wamebuni kamera yenye uwezo ya kupiga picha viungo vya ndani ya mwili wa binadamu. Kifaa hicho kimeundwa kuwasaidia madaktari kusaka vifaa vya madaktari, vinavyofahamika kama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kimsingi Mke wa Rais (first lady) ni kama Rais tu ingawa amekosa 'legitimacy' ya urais lakini ndiye mtu wa karibu zaidi wa Rais na akiitumia vizuri nafasi hiyo basi anakuwa na ushawishi mkubwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
African dance has transformed over the years with African music. The traditional African dance is gradually making way for more modern dance moves. Dance in general is the art of expression with...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wanajamii, Nimekuwa mteja wa decoder ya azam tv nilivutiwa sana na huduma zao katika king'amuzi chao hapo mwanzo lakina naona kila kukicha wanazidi kutukomoa wateja wake hapo mwanzo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu familia ya JF. Niende kwenye mada hapo juu. Ikumbukwe takriban mwezi au miezi miwili kulikuwa na sakata la vichwa vya treni bandari kuu ya Taifa Dar es salaam. Vichwa hivi...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu, Mnamo mwaka 2016 mwanzoni ndugu yangu alinililia shida alipohamia kwenye nyumba yake, kutoka nyumba ya kupanga, alitaka amalize choo na mambo mengine akaniomba nimpatie 2.5mil kwa ahadi...
2 Reactions
106 Replies
9K Views
Kwanza mamlaka ya hali ya hewa imeelezea tabiri zilizopita na kiwango chake cha usahihi ambacho kilifikia asilimia 87.5 kikiwa kimeongezeka kulingana na mwaka wa nyuma yake. TMA imesema mvua za...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wananchi wa kijiji cha Mwaya wilayani Ulanga wamemgomea Mbunge wa jimbo la Ulanga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Godluck Mlinga kuondoka na gari la kubebea wagonjwa kwa ajili ya kwenda kulikabizi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Awali nilikuja na uzi kwa title sawa na hapo juu. WanaJF nipende kuwashukuru kila mmoja kwa nafasi yake kwa kusaidia kwa namna moja au nyingine kufanikisha hitaji langu hasa wale waliokuja inbox...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Taarifa za chini ya kapeti ni kuwa suala la bomoabomoa ya nyumba 17,000 iliyotangazwa kufanyika Dar kusitishwa kutokana na rais kutokuwa na taarifa nayo ukweli wake haswa ilikuwa ni wabunge wa...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, imezindua rasmi awamu ya kwanza ya fidia kwa wakazi 179 waliopitiwa na Mradi wa Uboreshaji wa Miundombini katika Jiji la Dar es Salaam (DMP), baada ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ACACIA WAMEKUJA KWA UBAYA Ni raia wa uingereza aliyezaliwa nchini Afrika Kusini, alikua na kupata elimu yake nchini Uingereza, kwasasa ana umri wa miaka 51. Alianza kwa kupata elimu ya uchumi na...
4 Reactions
32 Replies
6K Views
Edo Kumwembe ni mchambuzi wa masuala ya soka hapa nchini. Ni maarufu kwa hilo. Miaka ya karibuni alibahatika [kupitia uzoefu wake wa uchambuzi] kupata kazi ya uchambuzi wa soka kituo cha Super...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
WANANCHI waliojenga kwenye vyanzo vya maji wametakiwa kubomoa nyumba zao kwa muda wa siku saba ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa wilaya hiyo. Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mjini...
0 Reactions
4 Replies
44K Views
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itazindua Huduma ya Matibabu ya bure kwa wazee wapatao 7,299. Watapatiwa vitambulisho vyao katika awamu ya kwanza siku ya Jumatatu terehe 04 Septemba 2017...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
DAR: Serikali yatoa siku 3 kwa wafanyabiashara ndogondogo wa eneo la Ubungo wawe wameondoka eneo hilo ili kupisha ujenzi wa barabara za juu. Mradi huo wa barabara za juu(flyover) unatarajiwa...
3 Reactions
114 Replies
13K Views
My dear Tanzanian Politicians, of whom I'm sure u will not get this, but I'm writing anyway...Tena wacha nitumie ile lugha mama ya Taifa so that I can put the message out there as politely as...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ajari mbaya imetokea Tabora. Abilia kampunI ya adventure kutoka Mwanza kwenda Mpanda, imeanguka mbele ya kijiji cha Ipole Wilayani Sikonge mkoani Tabora na kwa taarifa ni amefariki mtoto mmoja na...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Katika Baraza la Iddi leo hapo Bungoni Umoja wa Misikiti ya Ilala wakisoma Risala yao kwa Mgeni Rasmi Dr Hussein Ally Mwinyi kuhusu Huduma wanazozitoa kwa jamii ya watanzania upande wa Elimu na...
10 Reactions
75 Replies
6K Views
Back
Top Bottom