Ni propaganda au Kweli, Au kuna Lengo la kumpa kichapo kitakatifu kwa kisizingio cha democracy maana nimemuona Gen Mattis white house na Jamaa ni katili Sana nahisi wanataka mpa kichapo N korea, hizi clip wasije wakawa wanatumia kama propaganda ili achapwe