mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,182
wana JF,
Katika kazi ngumu ambayo mfanyabiashara anakutana nayo ni vikwazo vya kodi za awali kutoka TRA, mamlaka ya kodi imeandaa kodi za miezi mitatu mitatu ndipo upeleke kodi, ikitokea wewe umepata ka mtaji wa kuanza biashara, sharti mwezi unaoanza nao uwe kati ya 1Jan, 1 April, 1Jan ikiwa umepata mtaji labda 1 Feb, unatakiwa kulipia mwezi mmoja nyuma ambao haukuutumia au usubili 1 April ndio uanze biashara, hivi kwa nini system isianzie pale uliposajiri ndiyo iwe tarehe yako ya kupeleka fedha kila baada ya miezi mitatu. Kimsingi fedha hazikai, mfanyabiashara yoyote fedha haitakiwi kulala hata siku moja, inategemea umezipata kwa nani. Pili mimi nikiwa sijaanza biashara unachukuaje fedha zangu kwanza za miezi mitatu ndipo nipate tax clearence, kingine nimefanya biashara muda mfupi nikafeli, taratibu za kuamisha data kwenda sehemu nyingine biashara ilipokubari mbona inakuwa mgumu? Mfano nilikuwa city centre, kodi ya pale nilipokadriwa ipo juu, naamia tuseme tegeta mkoa wa kinondoni, kadirio la biashara lipo chini, ukienda kuomba leseni kazi inakuwa ngumu sana, utaambiwa urudi ulipotoka waamishe data, ni data gani mnahitaji wakati wote tupo kwenye mfumo mmoja.
TRA tax clearance zinatutesa sana kupata leseni, zilekebishe tanze biashara ndipo mtudai fedha za miezi mitatu mitatu.