Serikali, acheni masihala

Serikali, acheni masihala

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,881
Reaction score
3,661
Serikali umezindua issue ya card za matibabu ya wazee wakati hata issue ya vitambulisho vya taifa haijaisha.Hospital zenyewe hazina madawa sasa hao wazee sijui matibabu watapata vipi.Acheni masihala na siasa zenu za zamani aisee....2020 sio mbali[emoji44][emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseeh kumbe hvi mchakato umeishia wapi wa NATIONAL ID
 
Back
Top Bottom