Mwambie aacge kukariri... Mazoezi sio lazima gym... Hata chumbani kwake anamaliza kila kitu anaingia kuoga
Sidhani kama amekosea, wewe ndio unaikuza hiyo hoja..alichokifanya ni kumpa majibu kwa kumpatia mbadala wa hitaji lake na ikitokea kutajiwa hizo gharama kama hatozimudu.Badala ya kumkosoa mwenzio basi ungetumia huo muda kutoa majibu ambayo wewe unaona yako sahihi na msaada kwa mtoa hoja.Yote kwa yote ni kweli mazoezi hata chumbani unaweza kuyafanya.You should be ashamed of yourself. Mtu ameuliza...wewe unakuja na kauli zako za kebehi. Kama huwezi kumsaidia. Soma na pita kulia.
Kila mkoa na wilaya kuna posta, unazungumzia posta ya wapi?Habari wana jf.Nauliza gharama za kufanya mazoezi ya kupunguza uzito gym ni sh.ngapi?
Na ni gym zipi zilizo karibu na posta?
Fresh air? Na hayo magari na vumbi?Huko niliacha kwenda baada ya kuona ninalipa hela na muda wa kwenda sina, siku hizi ninaamka asubuhi huku huku kwetu Kwamtogole ninakimia nusu saa ninapata fresh air, ni bure na nikirudi nyumbani ninaoga na kwenda kazini.
Huko niliacha kwenda baada ya kuona ninalipa hela na muda wa kwenda sina, siku hizi ninaamka asubuhi huku huku kwetu Kwamtogole ninakimbia nusu saa ninapata fresh air, ni bure na nikirudi nyumbani ninaoga na kwenda kazini.
mwanza banaGym safi hapa nyegezi buku mbili kwa siku adi raha
Kama unaogopa vumbi na moshi wa gari kimbia asubuhi...mapemaFresh air? Na hayo magari na vumbi?
Na wengine wanafuata mizigo!,kule kuna mizigo ya ukwee...Watu wengi wanapendelea kwenda gym kwasababu ya company, mazoezi yanakuwa na mvuto