Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1 WAKORINTO 6 1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu? 2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na...
2 Reactions
10 Replies
214 Views
Nimekuwa nikipita eneo la Mbezi Beach Africana, kwenye kona ya upande wa njia inayoelekea Kinzudi, kuna kiwanda cha zege kinachotiririsha maji machafu barabarani (hasa baada ya kusafisha magari...
0 Reactions
3 Replies
151 Views
Anonymous (7765)
Hii ni barabara ya kutoka Mchinga 2 kuelekea Kijiji cha Ruvu ni mbovu mno, hapo ni eneo la Mkandiwata, Jimbo la Mchinga Manispaa ya Lindi, Mkoani Lindi, watumiaji wanapata changamoto sana. Vijiji...
0 Reactions
2 Replies
162 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana ma Dawa za Kulevya imemkamata Msimamizi wa Hosteli ya Wanafanzi Semvua Sangi (31) iliyopo Mtaa wa Nyasa Kijitonyama Jijini Dar es Salaam akiwa na Pakiti 144 za...
1 Reactions
3 Replies
224 Views
Naombeni mnipe ushauri nifanye nini Nilitaka kumweka mzazi kama mtegemezi kwenye bima yangu ya Afya Walinikatalia nikawauliza wakaniambia jina la mzazi kwenye cheti changu cha kuzaliwa lipo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je kati ya Tanzania vs UK ipi nchi yenye rasilimali nyingi za asili zaidi? Kwa ujumla, Tanzania ina rasilimali za asili nyingi zaidi kuliko Uingereza (UK). Kwa nini Tanzania ina rasilimali...
0 Reactions
5 Replies
173 Views
Anonymous (c0e2)
Barabara ya Kitangiri Mihama Mkoani Mwanza ni mbovu sana, ilikuja Kamati ya Bunge ndiyo wahusika wakafukiafukia mashimo ili wakakakague zahati lakini mpaka sasa ni hatari, ni Wilaya ya Ilemela...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Wasalaam wanajamvi. Jamani kuna jambo linanifikirisha kwa muda sasa, hivi kuna uhusiano wowote kwa vijana wa makamo wanaorudi toka ughaibuni na kufeli maisha? Nimekutana na case Kama tatu hivi...
81 Reactions
604 Replies
54K Views
Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha...
13 Reactions
15 Replies
858 Views
Hu mjadala ni kwajili ya maarifatl tu sio kushindana au kukashifu imani zingine tafadhari. Kulingana na Biblia, katika Injili ya Luka, kulikuwa na mwizi aliyekuwa anasulubiwa pamoja na Kristo...
6 Reactions
95 Replies
1K Views
Je wakati Yesu anazaliwa shetani alikuwa amefungwa? Kulingana na Mathayo 12:29, je, Yesu alikuwa amemfunga shetani wakati wa kuzaliwa kwake? Ili kupata jibu, ni vizuri turejee Mathayo 12:29...
1 Reactions
3 Replies
291 Views
Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema, “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye...
0 Reactions
3 Replies
353 Views
Anonymous (c04c)
Hebu Tusaidie kupaza sauti Mkandarasi anayejenga Barabara kutoka Mwenge Mpaka Tegeta a jitahidi kumwaga maji atatuua kwa vumbi.
0 Reactions
2 Replies
147 Views
  • Redirect
5 Reactions
– Replies
– Views
Habari zenu wakuu. Mnamo mwaka juzi (2024) nilibahatika kupita barabara inayotoka kimara mwisho kuelekea bonyokwa mpaka kinyerezi nilikuta ujenzi wa barabara ukiwa upo kwenye hatua za awali...
2 Reactions
15 Replies
411 Views
Siyo tu Nikki wa pili alimsomesha huyu binti, Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) . Huyu si mwingine ni Nickson...
23 Reactions
250 Replies
6K Views
Abiria tunatoka kanda ya ziwa kuelekea Arusha na Moshi tumekwama hapa Shinyanga gari imekatika spring T646 EKS ya kutoka Tarime kwenda Moshi so tupo kwa mafundi wa kilocal wanachomelea hizo...
1 Reactions
3 Replies
216 Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amekemea uzushi unaoenezwa na baadhi ya watu wenye nia ya kupotosha jamii kuwa mwanaume akishikwa bega...
5 Reactions
12 Replies
229 Views
Hata kama ni kweli zaidi ya miezi mitatu anawalawiti alafu anakuja kukamatwa mwezi huu! ======= Watu Watatu wakazi wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wanadaiwa kulawitiwa na mtumishi wa...
3 Reactions
22 Replies
496 Views
Machache kuhusu mamba Ingawa mamba ana meno mengi na yenye nguvu, meno hayo hayajajengwa kwa ajili ya kusaga au kutafuna chakula; badala yake, hutumika kwa ajili ya kukamata, kushikilia, na...
3 Reactions
7 Replies
211 Views
Back
Top Bottom