Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tukio la kushtua limeripotiwa katika shule moja ya sekondari ya wavulana baada ya mwanafunzi kumshambulia mwalimu wake kwa kumpiga ngumi na kumuangusha chini, kufuatia jaribio la kumpatia adhabu...
5 Reactions
101 Replies
1K Views
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay. Sativa ameyasema hayo wakati akiwa...
24 Reactions
400 Replies
28K Views
Hizi ndio nchi 10 za Africa zinazoongoza kwa bei rahisi zaidi za Mafuta (Mafuta ya petrol) Bei zipo kwa USD na chini kuna equivalent yake ukicompare na Tanzanian shilling 1. Libya $0.023/litre...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Nimeona taarifa ya polisi kuwakamata vijana mbalimbali waliodai nyeti zao kuibwa au kupotezwa kishirikina na wachawi. Sio sahihi Hawa watu kukamatwa kwa sababu ni haki ya kikatiba katika nchi hii...
6 Reactions
168 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nianze Kwa salamu: Asalam alaykum na kwawale wasiopenda salamu hii basi habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF. Kwanza kabisa ningependa kwenda moja kwa moja kwenye pointi husika...
12 Reactions
139 Replies
6K Views
Haran Sanga, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni akihojiwa kupitia Clouds TV Aprili 13, 2026 amesema; "Changamoto kubwa Kigamboni ni tozo pale darajani kama hauna Tsh. mia Mbili huwezi kufika Kigamboni...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
kuna utafiti naufanya, naomba kuwashirikisha watafiti wenzangu katika research hii muhimu hapa jukwaani. hivyo kwa heshma na taadhima naomba mtu ataae ni mention kwenye post yeyote zaidi ya mara...
11 Reactions
54 Replies
597 Views
Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Foleni jijini Dar es Salaam zimekuwa kero kubwa kwa uchumi na maisha ya wananchi. Muda unapotea, gharama za usafiri zinaongezeka, na uzalishaji unapungua...
0 Reactions
3 Replies
362 Views
Ni miaka mingi imepita tangu hili tukio limetokea kwa kaka kumuua dada yake na kufungwa maisha jela hata baada ya rufaa adhabu haikupungua na hadi sasa anatumikia kifungo. Kwa ufupi mauaji...
7 Reactions
15 Replies
412 Views
Huyu dereva kashaoza
1 Reactions
1 Replies
183 Views
https://www.youtube.com/watch?v=VvQLjIQ2VP4
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Unao uwezo wa kweli wa kujielezea mtu akupe pesa au kazi ya pesa? Au ni mtu wa soni na incompetency? Tuambie hapa ni namna gani waweza mshawishi mtu akupe pesa au mchongo wa pesa, au kazi, au...
2 Reactions
4 Replies
131 Views
(Tutaendelea na vita kwa miezi 4 hadi 5) (Tuna jeshi lenye nguvu zaidi duniani, na tutashinda kwa urahisi) Sasa Endelea kusoma au kusikiliza: Hii hapa ni tafsiri ya Kiswahili ya hotuba hiyo...
10 Reactions
27 Replies
599 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 11 Aprili, 2026, katika jimbo dogo la Mara Kaskazini wilayani Tarime, mkoani Mara amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Wanaume sita, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni kujibu shtaka moja la kutoa taarifa za uongo kuwa wameibiwa nyeti zao (uume) wakati wakijua kuwa ni...
10 Reactions
57 Replies
815 Views
This is simple mathematics , umezaa mtoto yes that's ur responsibility na responsibility is like uniform hata kama uniform hauipendi ila lazima uivae tu . Kuzaa au kuzalisha that's option ila...
15 Reactions
94 Replies
1K Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linawaarifu wananchi na abiria wote kuwa, kumekuwepo na vitambulisho mbalimbali vilivyoachwa katika treni na stesheni za SGR na MGR kutokana na sababu tofauti wakati...
3 Reactions
5 Replies
337 Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na...
3 Reactions
95 Replies
5K Views
Back
Top Bottom