Msiteseke kwa ajili ya kesho msioijua

Msiteseke kwa ajili ya kesho msioijua

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,417
Reaction score
5,203
Nimeona nyuzi nyingi za kipumbavu humu Jf , kuanzia namna ya kukaa na wanawake kwa akili, jinsi ya kufanikiwa kiuchumi na mpaka wengine kujifanya ni life coaches.

Acheni kujisumbua na uo upumbavu , ishi kwa kufuata dhamira yako , sababu ya wew kujikuta umezaliwa Africa ni ishara tosha kwamba huna cha kupoteza
 
Pole sana 😢 life lina kaba
Sina matatizo mkuu , mim ni mwehu ndama , gwiji la starehe na tajiri la fursa , nachofanya nikuwapa watu matumaini ..binafsi sikuwahi kumsikiliza yeyote Wala kufanya jitihada , licha ya kutokea katika umasikini lukuki lakini matamanio yangu ndio yalioyo nipa kujitegemea..na sasahivi naingia USA kama naingia chooni na Europe kama naenda karume
 
0hooo hongera sana mkuu
Huyo wa kwenye avatar ni wewe😎
 
Nimeona nyuzi nyingi za kipumbavu humu Jf , kuanzia namna ya kukaa na wanawake kwa akili, jinsi ya kufanikiwa kiuchumi na mpaka wengine kujifanya ni life coaches.

Acheni kujisumbua na uo upumbavu , ishi kwa kufuata dhamira yako , sababu ya wew kujikuta umezaliwa Africa ni ishara tosha kwamba huna cha kupoteza
"sababu ya wew kujikuta umezaliwa Africa ni ishara tosha kwamba huna cha kupoteza" hakika mkuu haya maneno yamenigusa sana🤣🤣🤣 ukisha zaliwa Africa chini ya jangwa la sahara tayari wewe Walking dead.
 
Sina matatizo mkuu , mim ni mwehu ndama , gwiji la starehe na tajiri la fursa , nachofanya nikuwapa watu matumaini ..binafsi sikuwahi kumsikiliza yeyote Wala kufanya jitihada , licha ya kutokea katika umasikini lukuki lakini matamanio yangu ndio yalioyo nipa kujitegemea..na sasahivi naingia USA kama naingia chooni na Europe kama naenda karume
Chai mzee wakati Tz tumewekewa restrictions kuingia Marekani
 
Back
Top Bottom