Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,401
Kimsingi ngazi zote za halmashauri ya jiji la Mwanza wamekuwa wakivunja sheria na kanuni za utumishi wa umma ikiwemo kuondoa UTU wa watumishi.
Mimi Deogratius Nalimi Kisandu wamenivunjiaheshima yangu kwa nguvu kubwa sana ikwemo Ubaguzi na unyanyapaaji kazini, kuingilia mahusiano ya kimapenzi, na hata kushinikiza kuvurugiwa mipango yangu ya kimaisha na kifedha. Kushinikiza watu wanifanyie unyama ikiwemo kuundiwa zengwe la kuuawa.
Nimekuwa nikivumilia tu kwa kuwa wao ndio wenye mamlaka katika wilaya na hata ninapo jaribu kutoa malalamiko yangu nafanyiwa maigizo, hivyo nimeamua kukaa kimyaaaa kabisa wafanye kila aina ya unyama wanaotaka wenyewe ikiwemo kupotosha kila jambo wanalofikiri wao. Ikiwemo kunikana kuwa mimi sio mtumishi wao.
Naomba idara ya Utumishi jiji la Mwanza ifumuliwe upya na kuweka watu wapya kabisa. Nawasilisha,
Deogratius Nalimi Kisandu( Deogratius Pio Kisandu).