Kwa wale wanaotokea Kondoa; Tujadiliane kuhusu maendeleo ya wilaya yetu

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,143
5,610
Habar humu JF,

Hii ni maalumu kwa wale wanaotokea wilaya za Kondoa na Chemba, karibuni tujuane tunapotokea na kuhusu maendeleo ya wilaya yetu.
 
Kwetu kondoa, barabara almost inakamilika. Ukitoka Dodoma hadi bonga imebaki jumla ya km 40 ukijumlisha kipande cha paranga -bicha, kwadinu, na bereko-bonga. Mwezi wa sita inatakiwa kukabidhiwa. Nilikwenda huko last week
 
Back
Top Bottom