Pumzi
Comrade.....Utahuzunikaje wkt ushakufa?
nitakacho poteza hakipo kwenye listHabari wakuu.
Kati ya hivi vitu ni kipi ukikipoteza utaumia sana moyoni mwako
1. PESA
2. AMANI
3. MPENZI
4. WAZAZI
5. WATOTO
6. AKILI
7. KAZI
8. MARAFIKI
9. MALI
Jaribu kutoa na sababu ya jibu utakalochagua
Karibuni wakuu
MoyoNi kitu gani hicho?
Mkuu adimu sana vipi bado upo Bongo au pande za Melbourne ?Utahuzunikaje wkt ushakufa?
Mkuu adimu sana vipi bado upo Bongo au pande za Melbourne ?
Unaweza kuwa na afya nzuri lkn huna amaniKitu cha muhimu kabisa ambacho ni AFYA na hukukiweka kwenye hiyo list yako!!
Afya ndio kila kitu,
Health is wealth.