Kwa heri "suka motel" Kimara suka

Kwa heri "suka motel" Kimara suka

Sasa nyamachoma tutakuwa tunakula wapi, mimi nilikuwa nikisafiri kwenda au kutoka mikoani lazima nipitie hapo kula Nyama choma ndiyo naendelea na safari yangu
 
Yaaan inatia huruma,hii ni dar!ukienda tabora nako nyumba zinaweza fika elfu 20 nimepigwa alama ya X kwa kujengwa eneo la reli maeneo ya Kiloleni,yaani mpaka unasema wahusika walikuwa wapi wasiwaambie mapema!kilio kikubwa saana!nguvu aliyotumia mtu kujenga awali wachache saana watajenga tena,wengi hawajiwezi
 
Una uhakika hawakuambiwa??
 
Na watu wa hivi ni wale ukiwauliza bei ya tofali moja hawaijui wala hawajawahi kufikiria kuulizia.umaskini sio mzuri hata umaskini humfanya binadam awe na roho mbaya kwa wale waliofanikiwa kidogo.
Watajulia wapi mkuu wakati wanakaa kwa mashemeji zao tena kwenye nyumba za kupanga
 
Serikali inayohaki ya kuhamisha raia ili kupisha miradi ya maendeleo, lakini ni muhimu raia walipwe pesa zinazolingana na soko la sasa la mali zao na wapewe eneo jipya la kuhamishia ma kazi.

Ni jukumu la serikali pia kuhakikisha eneo hilo jipya lina huduma muhimu kama maji, umeme, shule, zahanati, kituo cha polisi nk.
 
Back
Top Bottom