Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma aliyeteuliwa hivi karibuni kushika wadhifa huo, ameanza kazi kwa kutoa rai kwa majaji wafawidhi katika mahakama mbalimbali nchini kumaliza kesi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kweli CCM tuna miamba awali nilibahatika kuiona gari ya mbunge wa Korogwe yenye usajili Maji Marefu lakini leo pia kupitia luninga ya ITV nimeona gari ya mwenyekiti wa CCM Geita ambaye pia ni...
4 Reactions
26 Replies
9K Views
Askari anayejiita Faru John amejisalimisha muda huu kwa Kamanda wa Kanda Maalum DSM, bwana Lazaro Mambosasa kutokana na agizo alilolitoa jana Mbagala
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Na Thadei Ole Mushi. Nimeangalia Movement za Mh Lazaro Nyalandu zimenifurahisha na zinamfurahisha kila mtu. Kuna wanaozingalia Movement hizo kwa jicho la Kisamaria na kuna Sisi tunaozingalia kwa...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Askari anayejiita Faru John ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam alikohojiwa na kuruhusiwa kuondoka akaendelee na kazi. Kuripoti kwa askari huyo kunatokana na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nakuombeni nyie mliobobea katika mambo ya sheria na katiba ya nchi yetu mfafanue hili jambo. Navyofahamu, spika anaweza kutoa amri kwa askari wa bunge wamkamate mbunge na kumtoa nje. Lakini je...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
JESHI la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia watu wawili, mke na mume, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha jirani yao, Iddi Seleman (40) kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Kamanda...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu habari za muda, Jamaa yangu mmoja anaomba ushauri kabla ya kesho hajafika TRA kuulizia zaidi. Je anawezaje kurejesha leseni yake iliyokwisha muda. Kama mwaka mmoja na nusu uliopita hakuwa...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari wadau.. Najua soko la ajira linasumbua sana.. Nikajikaza na kupambana sana baada ya shule na kufanikiwa kufungua biashara ndogo ndogo. Ninamiliki workshop ya kuprint tshirts, studio ya...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Jambo JF, Nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Bw. Muganyizi Mutta ambaye mpaka umauti unamkuta alikuwa anafanya kazi Aggrey & Clifford kampuni inayojihusisha na kuandaa matangazo na...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kilombero huko, kila mwezi lazima utenge budget ya Uhakiki. Mpaka sasa bwana mdogo ametumia zaidi ya 213000/= kwa nauli, photocopy Sio FAIR!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hello jf! Kuna mtu mmoja anaitwa Jack. He used to live with guilt by himself, kila kitu anachojaribu kufanya rafiki zake wanamwambia huwezi kufika hapo. Alikuwa anapenda kusikiliza vile watu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mara baada ya uzinduzi wa bomba la mafuta Tanga, kumeibuka tangazo la nafasi za ajira, tangazo hilo lina ahidi kulipa 18000 kwa Siku kwa kila kichwa. Tangazo hilo limetolewa na watu wanaojiita...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Zuhura(Venus) na Mwezi Hilali pamoja kesho Jumatatu Alfajiri kuanzia saa 11.30AM 18.Sept.17 Sayari ya Zuhura na hilali ya Mwezi zitatoa mandhari ya kuvutia zitapoonekana alfajiri kesho. Duara ya...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Ukifanya kibaya kwake ujue na yeye anawaza kufanya uyafanyayo, Kwa binadamu asiyeijua Kesho yake hawezi kujihakikishia usalama wake, Kila adui na mbinu zake. Tujenge ushirikiano, tuachane na...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Taarifa zilizonifikia hivi punde tu zinasema kwamba mahabusu tisa waliokamatwa kwa makosa mbalimbali ya uhalifu na kuwekwa rumande katika kituo cha Polisi cha Kawe kilichopo Wilaya ya Kinondoni...
6 Reactions
53 Replies
6K Views
Ilikuwa ni kama maskhara lakini sasa mambo yanajifunua kwa namna ya ajabu kabisa.... Inasikitisha mno kuona serikali inachezeshwa segere na watu wa kawaida kabisa! Jamani huko mamlakani hakuna...
44 Reactions
60 Replies
7K Views
Nashukuru sana ITV.ambapo wameonyesha ibada ya kumuombea Mh.lisu ni TV pekee nchini Tanzania ambayo inapata uthubutu kiasi wakuonyesha maendeleo ya Mpendwa wetu Maana lazima shetani apate aibu...
13 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimepata taarifa kuwa Polisi wamenitafuta toka asubuhi maeneo ya Sinza! Waki Sisitiza kuwa Nipo hotelini hapo, wakati mimi niko Nairobi, nitaitikia wito wa polisi ukiletwa rasmi, sihitaji...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawasaalimu wote kwa ujumla! Bila kupoteza mda naomba kufahamu kama kuna tawi la office za NACTE mjini morogoro, mwenye kufahamu mahali office zilipo anijulishe. Mungu awabariki ninyi nyote!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…