Askari anayejiita Faru John ajisalimisha polisi

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,258
Askari anayejiita Faru John amejisalimisha muda huu kwa Kamanda wa Kanda Maalum DSM, bwana Lazaro Mambosasa kutokana na agizo alilolitoa jana Mbagala
 
safi sana...nasikia huyo bwege anasumbua sana vijana wa boda boda wa mtoni kijichi.
 
Askari anayejiita Faru John amejisalimisha muda huu kwa Kamanda wa Kanda Maalum DSM, bwana Lazaro Mambosasa kutokana na agizo alilolitoa jana Mbagala
alizingua nini?....au wananchi walienda kumchongea?
 
Back
Top Bottom