Serikali ya Uganda yaleta nchini miili ya watanzania waliofariki kwa ajali

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
518
1,000
Ndege iliyobeba miili ya watanzania 13 waliopata ajali nchini Uganda imewasili jijini DSM usiku wa kuamka leo.

FB_IMG_1505879226712.jpg

Miili hiyo imepelekwa hospitali ya Lugalo ambapo leo saa 3:30 asubuhi kutafanyika ibada maalum na baada ya hapo miili 7 itasafirishwa kwenda Moshi wakati 3 ikielekea Dodoma.

Serikali ya Uganda ndiyo iliyolipia gharama za ndege hiyo.
 

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,347
2,000
Hivi kumbe mseveni ana rohoo nzuri kiasi hiki, hongera sana raisi yoweri kaguta Mseveni.
 

mysterio

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
4,953
2,000
uwa hana roho ya kishetani, tayari imeshajenga shule mbili za sekondari Tanzania, na amekuwa mwenzetu siku zote kwenye raha na shida
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom