Kuna Polisi wenye Silaha msitu wa Salender Bridge. Kuna nini?

mpenda1961

Senior Member
Apr 2, 2013
123
78
Nimepita maeneo ya daraja la Salender, naona kuna polisi wenye silaha wanazama msituni pale na kuna gari la uokozi la Msalana Mwekundu.

Kuna nini kimetokea?

Anayejua.
 
Sasa unatuuliza sisi na wewe ndio ulikuwa hapo?
Haraka yote kuja kuuliza huku JF ya nini?
 
Au kutakuwa kuna gari imeruka daraja na kutumbukia kule chini. Manake pale si kuna kituo cha polisia.
 
Nimepita maeneo ya daraja la Salender, naona kuna polisi wenye silaha wanazama msituni pale na kuna gari la uokozi la Msalana Mwekundu.

Kuna nini kimetokea?

Anayejua.
Kuna kitu si kawaida karibu na mikoko na kuna gari ya zimamoto magari ya police na watu kadha
 
Shaka ucheki na afande mmoja. Kama vipi twanga na kafoto kamoja utujuze mkuu
 
Back
Top Bottom