Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbunge wa Ubungo (Chadema) Saed Kubenea amepelekwa katika Zahanati ya Bunge baada ya kujihisi vibaya. Katibu wa wabunge wa Chadema, David Silinde amesema leo Jumatano kuwa, Kubenea amefika mbele...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMALIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuza inzi. Mfamasia mmoja Capt. Kenneth mwanachama wa UPDF, alisema"Ni kweli, hili ni...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Muleba imeteketeza kwa moto zana haramu za uvuvi zenye thamani zaidi ya shilingi milioni 32.3 zilizokamatwa katika maeneo ya kata ya Nyakabango na Kimwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu Leo napenda kuwatangazia wakazi Dodoma mjini na vitongoji vyake kuwa nina asali safi kabisa toka mkoa wa tabora, kwa yeyote anaehitaji awasiliane nami kwa no 0762009415 Bei kwa lita...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Mpaka muda huu, website ya TAMISEMI bado inamtambulisha Mh: George Simbachawene kama waziri wa TAMISEMI. Natoa wito kwa maafisa habari wa taasisi mbalimbali kuwa makini na taarifa zilizopo kwenye...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Imeelezwa kuwa mtu akikamatwa na madawa ya kulevya aina ya mirungi kuanzia kilo 70 na kuendelea adabu yake inafanana na ya mtu aliyeua ambayo ni kifungo Cha Maisha. Hayo yameelezwa na afisa wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau naomba mnisaidie postal code ya Arusha Tanzania..nlitaka kujiregister ktk moja ya huduma mtandaoni bt nimekwama hapo kwenye postal code.
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Ndg habari za jioni! Tangu Tanzania ilipoingia kwenye ubinafishaji mpaka sasa manufaa yamekuwa madogo sana. Si kweli kwamba hatukunufaika hata kidogo bali manufaa yetu yamekuwa madogo sana kiasi...
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Kwema wadau?. Nimepita maeneo fulani ambapo kuna kijiwe cha pikipiki, nimeukuta ubishani mkubwa wa madereva wa pikipiki. Ubishani huo unamhusu mnyama Tembo, kuna wanaosema Tembo mkubwa akisimama...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
KABLA ya kilimo na biashara ya bangi kuhalalishwa katika Jimbo la Oregon nchini Marekani misitu iliyostawi jimboni humo ilifanywa kuwa sehemu muafaka kwa kilimo cha bangi, na hatimaye kuzalisha...
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Mkuu wa mkoa wa dsm kasema kuwa atapambana na mashoga popote walipo ataenda hadi mahotelini.. Source Magazetini My take: kuwafuata mashoga mahotelini ni hatari. Ila nampa support yangu. Hii hulka...
12 Reactions
220 Replies
30K Views
Waziri Mkuu mstaafu wa Israel Ehud Barak na familia yake walikuja nchini kutalii na moja ya maeneo waliyofika ni Oldupai Gorge, sehemu inapopatikana historia muhimu ya binadamu. Eneo hilo...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Watu wawili wamefariki papo hapo mara baada ya lori lililokua limepakia makaa ya mawe mali ya kampuni ya Full Cargo Support kupinduka katika eneo la Utwango wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
sisi binadamu tunaoishi uswahilini ni mateso bila chuki. mchana nzi, usiku mbu. yaani hakuna uafadhali.kila siku ni afadhali na jana. hakuna jema si mvua, si jua. usiku balaa kubwa. ndani joto...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kila siku watanzania wanazidi kua wabunifu, kutokana na tatizo la foleni na umbali wa safari kutoka Kariakoo hadi Tegeta nyuki, huyu mjasiliamali kaamua kuweka WiFi kwenye daladala zake na...
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Jana katika vyombo vya habari nilimuona Mhe. Waziri wa Uchukuzi akihitaji maelezo kwa nini wafanyabiashara tunatumia viwanja vya ndege vya nchi jirani kusafirishia bidhaa. Nilisikitika sana kukosa...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Serikali kupitia Idara ya Habari Maelezo yataka wamiliki wa gazeti la MwanaHALISI wajieleze kwa kukiuka maadili ya uandishi habari.
5 Reactions
81 Replies
11K Views
Naombeni kujua ni platform zipi naweza agiza bidhaa online na kulipia kwa kutumia mpesa, tigo pesa apa Tanzania tofauti na kikuu.com
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom