Mbeya: Polisi wawakaba pabaya madereva wa Bajaji

Black jew

Senior Member
Sep 4, 2017
121
222
Tangu wiki ianze Polisi wanakamata bajaji. Hakuna kupakia watu zaidi ya watatu
Pili watoe ngao, yaan imesababisha usumbufu mpaka imefikia Polisi wanakimbizana na bajaji utadhan majambazi.

Kwa maana hiyo zamani alikuwa anapakia vichwa sita au vitano kaipiga root akiwa full anaenda na 2500 akirud 2500 jumla 5000/ .

Kwa uratibu huu mpya anatakiwa kupakia abiri watatu tu.
Yaan unajiajiri na bado unakabwaa ?
 
Bajaj zinasaidia sana lakini pia wakati mwingine zinaleta usumbufu sana. Madereva bajaj akili zao zinafanana
 
mtoa mada wewe unafikiria vipi, polisi iachwe, nenda zanzibar, daladala zao ni level seat, hakuna mtu kusimama, askari akikuona umesimamisha abiria ndani ya gari, fine yake utaona ukapaki gari siku hiyo, mie naona wako sawa tu askari
 
Back
Top Bottom