Bujora wa kipindi cha Clouds 360 acha kutunyooshea kidole

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Utangazaji Wa TV unanidham yake, haipendezi mtangazaji kila saa unanyoosha kidole kwenye kamera. Hata wale wanaoongea kwenye public wanafahamu protocol hii huchunga sana kuwanyooshea kidole wanaomsikiliza.

Hata wazungu wanapohutubia wanachunga sana achilia mbali wachambuzi na wanahabari. Halafu usioneshe jazba zako hata kama kweli umekasirika.

Be careful usitangaze kama upo kijiweni
 
Uko sahihi! kuna kanuni na taratibu japo si rasmi ila ni muhimu kuzingatia! umenikumbusha field yangu Fulani mahali fulani ..asante sana!
 
Utangazaji Wa TV unanidham yake, haipendezi mtangazaji kila saa unanyoosha kidole kwenye kamera. Hata wale wanaoongea kwenye public wanafahamu protocol hii huchunga sana kuwanyooshea kidole wanaomsikiliza.

Hata wazungu wanapohutubia wanachunga sana achilia mbali wachambuzi na wanahabari. Halafu usioneshe jazba zako hata kama kweli umekasirika.

Be careful usitangaze kama upo kijiweni
Bujora ndio yupi huyo?
 
Back
Top Bottom