DNA (deoxyribonucleic acid) kipimo cha kuthibitisha baba wa mtoto

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
DNA (Deoxyribonucleic acid) Kipimo cha kuthibitisha wazazi wa mtoto.

momma's baby.......daddy's maybe!

Ni msemo unaomaanisha mtoto ni wa mama. Baba anaweza kushiriki au kutoshiriki katika kumlea mtoto.

Baadae huu msemo ulikuja maanisha ni mama ndiye mwenye uhakika mtoto ni wake baba anaweza kusingiziwa.

DNA imemaliza huu utata wa baba kusingiziwa mtoto.

Wanasema "kitanda hakizai haramu" - Nonsense! Hata kama umeoa kwa dunia ya leo wewe baba mpeleke mwanao mkapime hicho kipimo cha DNA ili kuthibitisha mtoto ni damu yako.

Nimeshangaa kusikia watu wanaposti picha za kitandani kuthibisha baba wa mtoto. Huu ni ujima. Twendeni na wakati.

Kitu kikitiki majibu yanakuwa ni 99.999. Washenzi sana hawa jamaa. Hiyo 0.001 sijui wanamuachia nani.

Kikibuma ni 0 kama inavyoonyesha kwenye ripoti

671361ac95bdcfc28580af069735ceb3.jpg

Ukipigwa na hiyo 99.999 huchomowi child support hata kwa Pilato

2b829d027c01a0daae312dfd47e82979.jpg
 
Wakuu shilingi ngapi kupima hicho kipimo hapa bongo,kwa mwenye kufahamu.
 
Mathematically 99.99% is 100% ,but in probability we always work with .99 and not 1
 
Back
Top Bottom