Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,535
Reaction score
139,840
Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia au koroani tu!

Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.Wameridhika huwakuti wakichacharika.

Hapa ofisini tunao wote wawili.Ustaadhi ye mda wote yupo na majarida ya kislam,ukimpatia kazi ya masaa ataifanya wiki na hataifanya vizuri.

Ana ratiba ya kufundisha madrasa mpaka sa 11 usiku anakuja job kupiga usingizi.Ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.

Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.Acheni hizo wandugu,dini zipeni nafasi yake,na kazi ipewe nafasi yake.Kama huwezi basi acha kazi ubaki msikitini au kanisani.
 
sana mshikaji wangu daaah aisee nikiongea hapa nita toa id yangu ila siku fichi walokole wanazingua

unaona eeh,wanaboa sana.jamaa angu hapa mpaka anaona aibu kila dakika ruhusa.mkienda field after 3 days anataka kurudi home mkewe anaumwa,mxuuuh
 
Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia au koroani tu!Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.Wameridhika huwakuti wakichacharika.Hapa ofisini tunao wote wawili.Ustaadhi ye mda wote yupo na majarida ya kislam,ukimpatia kazi ya masaa ataifanya wiki na hataifanya vizuri.Ana ratiba ya kufundisha madrasa mpaka sa 11 usiku anakuja job kupiga usingizi.Ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.Acheni hizo wandugu,dini zipeni nafasi yake,na kazi ipewe nafasi yake.Kama huwezi basi acha kazi ubaki msikitini au kanisani.

Huu ni UDAKU
 
umezoea udaku ndo maana unaona kila kitu udaku,kama umeguswa change,

Sasa wewe unaye ishi ndani ya BOX utaelewa nini zaidi ya UDAKU. I am just wasting my time talking to a nincompoop. There is life out of the diabolical box.
 
Wamesahau hata vtabu vua maandko vnasema jsaidie nawe utaidiwe.wanapenda dezp hao..hawana lolote
 
Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia au koroani tu!Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.Wameridhika huwakuti wakichacharika.Hapa ofisini tunao wote wawili.Ustaadhi ye mda wote yupo na majarida ya kislam,ukimpatia kazi ya masaa ataifanya wiki na hataifanya vizuri.Ana ratiba ya kufundisha madrasa mpaka sa 11 usiku anakuja job kupiga usingizi.Ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.Acheni hizo wandugu,dini zipeni nafasi yake,na kazi ipewe nafasi yake.Kama huwezi basi acha kazi ubaki msikitini au kanisani.

Hii mada mbona iko kishangingi sana,hivi imetolewa na mwanaume au mwanamke. Btw unakuja kusema hapa usaidiwe nini?ungekua na akili ungewambia walengwa,ungewasaidia kuliko kuleta umbea na ushakunaku hapa.
 
Wamesahau hata vtabu vua maandko vnasema jsaidie nawe utaidiwe.wanapenda dezp hao..hawana lolote

waropokaji kama wewe njia yao fupi,toa hayo maandiko yanayosema hivyo kuback up hayo maneno"jisaidie usaidiwe.". Kama huna(nina uhakika huna) acha uropokaji na jambo ambalo huna uhakika nalo.
 
Mimi nafanya na ostazi mmoja ye anatumia muda mwingi msikiitini kuliko ofisini tena msikiti hupo ndani ya eneo la ofisi
 
Hakuna kitu hapa kwanza Watanzania wengi ni wazembe tu maofsini. Hakuna haja ya kusingizia dini za watu

Word, kuna wengine wanajifanya busy kwenye computer kumbe wanashinda JF, au worse wanacheck porno. Au la ni story za mipira na chai na lunch vinachukua most of the time.

Chukulia afisa misitu ambaye kwa mwaka budget yake ni mil 15 ambazo 80% zinatumika kwenye ziara za kinana and the like atakuwa na kazi gani zaidi ya kuforge takwimu kwa ajili ya report ya robo mwaka.
 
hao wanajielewa ila mmoja kati yao kaingia chaka
 
Back
Top Bottom