Televisioni ya Taifa na kukatikakatika kwa matangazo

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Leo hii kuna tukio kubwa la ziara ya Mh Rais katika Mkoa wa Manyara kuzindua barabara ya KIA hadi Mererani, vituo vingi vya binafsi vya luninga vinarusha live matangazo hayo bila matatizo sasa tunaitegemea TBC kama kituo cha Taifa kurusha live bila matatizo lakini matangazo yao yamekua yakikatika katika kila onyesho katika ziara hii kuna nini?
 
Hiki kituo kumbe mnakifuatilia na kuangalia sana yanayojiri huko kuliko nidhaniavyo!!
 
Wako hovyo na wanatia aibu mno kuitwa cha Taifa Dr Ryoba hakuna anachofanya labda arudi UDSM Mass communication tu
 
Nadhani ni kwa sababu ya mvua, hata Azam na DStv mvua ikinyesha mambo yanatetereka kidogo..
 
Back
Top Bottom