Hivi hakuna Mbadala wa DSTV? Yaani Pesa zote tunazolipa hakuna EFL Cup?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Wakuu DSTV imeshakua Kimeo na Nahitaji Kuhamia Sehemu nyingine hivi hakuna Mbadala wa Visimbuzi kwa Sisi Tunaependa Mpira?

Yaani Juzi tuu Nimelipia sh.109,000 Jana Nimetafuta Mpira kombe la EFL hamna Leo nimewapigia simu wanasema hawana rights.

Nahitaji Mbadala.
 
Nasikia Canal + ya Ufaransa inaonyesha, ila sijui kama mfumo wa malipo kwa hapa bongo upo, au wanatumia njia gani kulipia.
 
Wakuu DSTV imeshakua Kimeo na Nahitaji Kuhamia Sehemu nyingine hivi hakuna Mbadala wa Visimbuzi kwa Sisi Tunaependa Mpira?

Yaani Juzi tuu Nimelipia sh.109,000 Jana Nimetafuta Mpira kombe la EFL hamna Leo nimewapigia simu wanasema hawana rights.

Nahitaji Mbadala.
Tupo wengi jamani! Hawa jamaa saa hizi no shida hakuna bundesliga hakuna ligue ya France hakuna ligi ya Italy wala ya ureno kwa kweli wamepoteza ubora sio kama zamani
 
Angalieni La Liga..Bilbao 1-Atletico 2 FT
Betis 0-Madrid 0 ndio imeanza..
 
Wakuu DSTV imeshakua Kimeo na Nahitaji Kuhamia Sehemu nyingine hivi hakuna Mbadala wa Visimbuzi kwa Sisi Tunaependa Mpira?

Yaani Juzi tuu Nimelipia sh.109,000 Jana Nimetafuta Mpira kombe la EFL hamna Leo nimewapigia simu wanasema hawana rights.

Nahitaji Mbadala.
Am so dissapointed na hawa majamaa..very very..naona yatawashinda muda si mrefu.its high time investors wengine waje wachukue soko..tunalipa pesa nyingi sana kuliko hata thamani ya pango la mwezi.wd dnt deserve this bullshit dstv
 
Wakuu DSTV imeshakua Kimeo na Nahitaji Kuhamia Sehemu nyingine hivi hakuna Mbadala wa Visimbuzi kwa Sisi Tunaependa Mpira?

Yaani Juzi tuu Nimelipia sh.109,000 Jana Nimetafuta Mpira kombe la EFL hamna Leo nimewapigia simu wanasema hawana rights.

Nahitaji Mbadala.
Sisi wamikoani ni cable tv tu mambo muswano
 
Tupo wengi jamani! Hawa jamaa saa hizi no shida hakuna bundesliga hakuna ligue ya France hakuna ligi ya Italy wala ya ureno kwa kweli wamepoteza ubora sio kama zamani
Acha kulalamika vitu usivyojua, DSTV wanaonyesha Serie A kwenye channel ya RAI na jana walikuwa wanaonyesha mechi ya Juventus vs Fiorentina
 
Tupo wengi jamani! Hawa jamaa saa hizi no shida hakuna bundesliga hakuna ligue ya France hakuna ligi ya Italy wala ya ureno kwa kweli wamepoteza ubora sio kama zamani

Sisi tunakulaga KIMYA KIMYA TU
 
Attachments

  • tmp-cam--947844564.jpg
    tmp-cam--947844564.jpg
    24.8 KB · Views: 44
Tupo wengi jamani! Hawa jamaa saa hizi no shida hakuna bundesliga hakuna ligue ya France hakuna ligi ya Italy wala ya ureno kwa kweli wamepoteza ubora sio kama zamani
Njoo Azam tuangalie LIGUE 1, INDIA SUPER LEAGUE na VPL
 
Hawa dstv wanafanya mchezo na pesa zetu. Huwez mtu unalipia laki na elf tisa na unashindwa kuona mechi ya psg na bayern.. Mna dharau sana nyie dstv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom