Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,600
- 5,803
Habari za muda huu wanabodi.
Hili Tangzo la Coke linashusha utu wa mwanaume na ni thihaka kwa mwanaume.... Mwanaume hazumzi kwa vitendo.. Mwanaume haogopi kueleza hisia zake.
Mfano:
1. Lile tangazo la Jamaa anataka kudansi na mwanamke... Anatumia Coke ili kufikisha ujumbe... Hii ni dharau kwa wanaume
2. Lingine ni lile jamaa wamezinguana na mwanamke.. Anaamua kutumia Coke ili kufikisha ujumbe... Hii ni kuonyesha kuwa wanaume hatuna uwezo wa kuongea....
Tuungane kukemea huu udhalilishaji wa mwanaume
Mzee!