Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salam ndugu zangu wapendwa! Tunapambana na hali zetu. Nipo safarini natoka Kasulu Kigoma kuelekea jijini Arusha, kituo changu kipya cha kufanyia kazi. Ni jiji ambalo ni mara yangu ya kwanza...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Morogoro imefungia chuo cha uuguzi cha Tanzanite College of Nursing kinachadaiwa kujiendesha bila kibali huku wanafunzi zaidi ya 300 wakitapeliwa fedha kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeona magazeti ya NIPASHE na The Guardian yameungana na magazeti ya serikali kutokuandika habari kubwa kwa sasa hivi hapa nchini inayohusu ushahidi uliotolewa jana wa kununuliwa kwa madiwani wa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
  • Closed
Habari! Je! Chuo kinaweza kusajiliwa bila ya Choo?? Prof. Mlacha amefungua chuo kinachoitwa Kachenje Training Institute (KATI)... Kituko ni kwamba kilipatiwa Usajili kikiwa hakijakamilika. #1...
2 Reactions
79 Replies
12K Views
Niende moja kwa moja ktk maada, nimesikitishwa na nilichokisikia ktk baadhi ya video zilizotolewa na Mbunge wa Arumeru Mh Joshua Nassari ikiwa ni ushahidi kwamba madiwani waliojiuzulu walihongwa...
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Habari wadau muda si mrefu leo Jumapili muda wa saa tatu kuelekea saa nne usiku wakati narudi nyumbani nikakuta kuna askari FFU amegongwa hapa Ukonga Mombasa na jamaa aliegonga kasepa. Anaejua...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Jamani naandika ujembe huu nikiwa Tarime mjini nikielekea kata ya Kibasuka kijiji cha Nyarwana kitongoji cha Mwara kwenye msiba wa ndg. Magige Mesenda alieuwawa kwenye vita inayopiganwa kati ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi bilioni 53.9 kutokana na uchunguzi na operesheni mbalimbali zilizochukuliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Umejifunza Nini Tukio la Zamaradi na Ruge. Unadhani ni sahihi Shilawadu na Wanachomfanyia Zamaradi. Mdau Tiririka hapa tujifunze wote tusirudie makosa.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kama kuna JF members huku zenji ,tu organize kuonana,au party
0 Reactions
4 Replies
893 Views
Titanic—“Meli Maarufu Zaidi katika Historia” APRILI 10, 1912: Meli ya Titanic inaondoka Southampton, Uingereza, ikielekea New York, Marekani. APRILI 11: Baada ya kuwachukua abiria huko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kufa kufaana, ndivyo ripoti ya tathmini ya utendaji kwa mwaka 2016/2017 ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) inavyoonyesha jinsi msiba wa Spika wa Bunge la Tisa, Samuel Sitta...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Majuzi wakati natoka mkoa naelekea Dar kwenye siti yangu nilikaa na Mzee mmoja. Wakati tunapiga story mbili tatu tukajikuta tumeingia kwenye JamiiForums. Mzee akasema naye ni member wa JamiiForums...
14 Reactions
62 Replies
5K Views
Kati ya ma IGP wa miaka ya karibuni, IGP Simon Sirro ni kamanda wa maaskari. Ukimfuatilia utendaji wake si mtu wa mchezo mchezo na yuko fiti. Hii picha ya Nipashe leo 1/10/2017,inajieleza...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Basi la kampuni ya Al Saedy inasemekana limetumbukia mlima Ndololo likitokea mahenge leo.
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu ukiandika neno illuminati kinyumenyume kisha ongeza .com(yaani itanimulli.com) kisha google,utaona maajabu ya hii taasisi!
0 Reactions
41 Replies
15K Views
Ikiwa ni leo Oktoba 1, 2017 siku ya wazee duniani Halmshauri ya Manispaa ya Kinondoni imewapatia vitambulisho vya matibabu bure Wazee 2530, sawa na asilimia 60 ya wazee 4166 waliotambuliwa huku...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Iagizwe wakuu wa mikoa wa hakiki vitambulisho vya bima ya afya kwa wazee. Sababu walio na viambulisho viwili wasipewe vya wazee. Unakuta mtu amestaafu ana bima ya afya na cha wazee achague kimoja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna club inafunguliwa maeneo ya mbezi beach inaitwa LA club itakua inapiga nyimbo za dini tupu,mavazi ya heshima na vinywaji ni soda na juice tu katikati ya mziki kutakua na maombi alaf mziki...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
I'm throwing down the gauntlet for a Lincoln - Douglas style debate vs any kamanda out there. Yeyote yule, popote pale, muda wowote ule, na kuhusu chochote kile...niko tayari ku debate na kamanda...
6 Reactions
81 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…