Iagizwe wakuu wa mikoa wa hakiki vitambulisho vya bima ya afya kwa wazee.
Sababu walio na viambulisho viwili wasipewe vya wazee.
Unakuta mtu amestaafu ana bima ya afya na cha wazee achague kimoja.
Na wale wenye vitambulisho kupitia kwa watoto wao au wenza wao wavirudishe wachukue vya wazee.
Kazi hii wakuu wa mikoa wafanye kwa kushirikiana NHIF na wapewe mwezi mmoja