Polisi FFU Agongwa na gari Ukonga

Polisi FFU Agongwa na gari Ukonga

Hunteroflove

Senior Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
126
Reaction score
93
Habari wadau muda si mrefu leo Jumapili muda wa saa tatu kuelekea saa nne usiku wakati narudi nyumbani nikakuta kuna askari FFU amegongwa hapa Ukonga Mombasa na jamaa aliegonga kasepa. Anaejua zaidi atupe taarifa mimi nilikuwa mpita njia ila wamekimbiza gari iliyogonga na bodaboda, cha kusikitisha wamemkosa.
 
isije ikawa wasiojulikana wameanza kula pande zote, ....msiniquote vibaya
 
How comes Boda boda wanaifukuzia gari barabara hiyo ya Ukonga ilivo na foleni wanaikosa... Ndo kusema saa Tatu usiku njia ilikua nyeupe peeee
 
duh augue pole huyo maana ni mt mwenzangu japo najua wakitumwa kunishuhulikia hawatanionea uruma kama mtz mwenzie
 
How comes Boda boda wanaifukuzia gari barabara hiyo ya Ukonga ilivo na foleni wanaikosa... Ndo kusema saa Tatu usiku njia ilikua nyeupe peeee
Niijuavyo ukonga na muda huo foleni ilikuwepo japo c kubwa sana ila c kirahisi hivyo waikose kuikamata hiyo gari sema wamepewa chochote kitu wakamuacha jamaa kasepa.
 
Back
Top Bottom