Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WADAU nadhani mnakumbuka kuwa Serikali ya Kenya imefanikiwa kupiga marufuku MIFUKO ya PLASTIKI kutumika.Mifuko hiyo imekuwa inachafua sana mazingira.Najiuliza Kwa nini Tanzania bado hatujapiga...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
JIJI la Dar es Salaam ni miongoni mwa miji mikubwa nchini inayoathiriwa na uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi. Ili kukabiliana na tatizo hilo Tanzania inahitaji dola za Marekani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume (mkuyati) yanazidi kutikisa nchini, huku baadhi ya mikoa dawa hizo zikiuzwa holela kwa wateja bila maelekezo ya daktari. Tatizo la upungufu wa nguvu za...
0 Reactions
19 Replies
15K Views
Nijuavyo mimi Sheria zetu zinakataza kumsema Raisi wa nchi vibaya, sasa kwa nini Raisi wa nchi analaumiwa pale ambapo Sheria za nchi zinapotekekezwa? Tena cha ajabu kuna Wabunge ambao kazi yao...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Utata umeibuka baada ya miili ya watu wawili waliouawa na watu wasiojulikana kukutwa katika nyumba ya kulala wageni mjini Tanga ikiwa haina nguo na imefungwa kamba za miguuni na mikononi. Katika...
2 Reactions
68 Replies
11K Views
Hao jamaa wanapiga hela ndefu sana naomba kujua Ada , mahali chuo ilipo kwa huko Bongo na vigezo vingine ! Maana jamaa wananguvu za ajabu Kuna clip mgonjwa amebebwa kwenye machela walipomfikisha...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Hawa jamaa waendesha bodaboda wanaboa kweli tena sana, majira ya usiku/Giza taa zao zinakuwa zipo full (Full light). Leo katika harakati zangu huko madukani nime kutana na bodaboda imepigwa full...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakulima watatu wakazi wa Kata ya Kolero wilayani Morogoro wameuawa kwa kupigwa walipokamata mifugo iliyokuwa inalishwa kwenye mazao yao. Diwani wa Kata ya Kolero, Eligius Mbena amesema Alhamisi...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ikiwa tunaelekea miaka 57 Tangu Tanzania ipate uhuru, wananchi wa kata ya Miserani Wilayani Monduli ambako ndiyo chimbuko la madini Tanzania, bado wanatumia maji machafu kwa matumizi ya kila siku...
1 Reactions
65 Replies
4K Views
Msaada wandugu kwa yeyote anayeweza nipa tofauti ya kampuni hizi wakati nataka kusajili kampuni brella! Asanteni
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Jamani hali ya uchumi ni tete sana. Naona serikali inakopa kila kukicha kulipa mishahara. Deni la taifa linazidi kupanda kila kukicha. Wastaafu na viongozi wa serikali wengine hawajapata haki zao...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Tafadhali Mode! Naomba Kujuzwa Kuhusu Thread Yangu
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Mjumbe hauwawi. Kwamba, kutokuonekana kwa Abdulrahman Kinana ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM taifa kwenye vikao vya kamati kuu na halmashauri kuu, inatokana na Kinana kumuuguza ndugu yake wa karibu...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Njooni mnijibu,kwa nini leo clouds wanaadhimisha siku ya malkia wa nguvu ndani ya siku ya wajinga???
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakuu. Hili suala ni zito sana , tusimame pamoja kwa ajili ya wanaume wa kenya kwa nini wapigwe kila siku tena hadi kuuawa? Tanzania, Rwanda, Uganda, Burundi na Sudani Kusini tuungane tuwatetee...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakati hapa kwetu kina dada/kaka wanashindana kupiga vitaulo wakiamini weupe ndiyo urembo ,mwanadada wa Kijerumani mwenye aitwaye Martina Big(28)yeye kajigeuza kuwa mweusi Alianza kuongeza...
2 Reactions
84 Replies
15K Views
Kama kichwa cha barua kinavyojieleza....nahitaji muandishi wa habari wa gazeti/radio/tv kuna habari nataka nimnyetishe...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Habar za weekend ndugu zangu katka imani. Husikeni na kichwa cha habar hapo juu.Mm ni Mtanzania mwenzenu na kuna jambo limekuwa likinisumbua sana...,nmekuwa nikiwauliza Watanzania tofautitofauti...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amekutana na ugeni kutoka Jiji la Shanghai nchini China na kujadili mambo mbalimbali yamaendeleo jijini hapa ikiwemo suala la uboreshaji wa kituo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwanini watu wenye kutoa sana ushauri juu ya ujasiliamari,afya au maisha lakini wao unakuta sio matajiari,na kama ni Dr unakuta na niwagonjwa labda wa HIV/aid sasa Mimi najiuliza tatizo linkuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom