Nipashe na The Guardian waogopa kuandika habari ya kununuliwa kwa madiwani

Wdl

Senior Member
Jun 2, 2017
180
167
Nimeona magazeti ya NIPASHE na The Guardian yameungana na magazeti ya serikali kutokuandika habari kubwa kwa sasa hivi hapa nchini inayohusu ushahidi uliotolewa jana wa kununuliwa kwa madiwani wa chadema.

Je ni woga wa wanahabari?
Au wameona ni uchochezi?
Je hii siyo habari kubwa?
FullSizeRender_6.jpg
FullSizeRender_24.jpg
FullSizeRender_20.jpg
FullSizeRender_2.jpg
FullSizeRender.jpg
 
Wamejaribu kubalance usomaji,acha wale walioandika waandike.

Ila bado ujumbe umefika!
 
Ukiona hivyo ujue Mengi keshasoma mchezo. Kumbuka yule ni mfanyabiashara na huwa ni mpimaji upepo. Anajua utawala huu unaweza kumrudisha macheme akafuge ngombe so kaamua kuomba poo
 
Ushahidi haujawaridhisha, wanaogopa unaweza ukahakikishiwa kuwa feki bdye wakafungiwa.
 
Kunauoga umegubika sekta ya habari hasa wateule wakipatikana na maovu inakuwa ngumu sana kuriport
 
Mengi ameshaogopa, siku hizi kutwa kucha anamsifia faru huko twita
 
Mkulu amekaa vibaya hujui leo ameamkaje hana kubwa wala dogo mshari mpishe aende zake
 
Back
Top Bottom