Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kamaa hutii Mamlaka wewe ni mzigo kwa familia yako, jamii yako na serikali yako. Ndugu zangu tuipende Nchi yetu na tutii sheria na taratibu zote zinazo endeshwa na serikali. Jukumu lako kubwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
The National Debt: Why Fret Over Something That Doesn't Exist?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamii ya Wahadzabe wanaojishughulisha na uwindaji, kurina asali na kukusanya matunda porini, wameomba kupelekewa msaada wa bangi angalau tani mbili watakayoitumia kwa mwaka mmoja. Wahadzabe...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Tarehe 4th July kwa Wamarekani ni siku ya kusheherekea uhuru wa nchi hiyo na siku hii ni ya mapumziko. Miaka 241 iliyopita, 1776 tarehe 4 July Congress ilitangaza Uhuru wa makoloni 13 ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watu wengi tumekua tusikia watu wakisimulia juu ya kuwa, kulikuwa na wafalme ambao walikuwa wakizikwa na watu waliokuwa hai, kama sehemu ya mila na tamaduni. Jamii ambayo ilifanya sana tamaduzi...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Wadau, Salamuni. Kama nilivyoainisha kwenye somo, ningependa kujua basi bora la kwenda Mwanza. Natokea Dar.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mzuqa wanajamvi Matumaini yangu wikendi inaendelea vizuri. Ijumaa ya juzi supervisor wangu alinipa motiveshen kwa kazi nzuri nayofanya ya usafi supermarket Na karestaurant flani. Alinipa two...
20 Reactions
62 Replies
5K Views
1.VEVO inamilikiwa kwa ubia na Sony Music , Universal Music, google na Abu Dhabi Media wakati YouTube ipo chini ya google. 2.Vevo Inahusu muziki pekee wakati YouTube Ni videos zote Hadi Filamu...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari za jumapili! Mkono Wa kulia na kushoto ni maneno yanayoeleza namna mikono yetu ilivyo na kazi zake; naomba mtu anayejuwa vyema historia na chanzo cha matumizi atufahamishe, wengi tumejikuta...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau kwa mujibu wa ripoti ya ukaguzi iliyotolewa na Mamlaka ya udhibiti wa manunuzi Serikalini(PPRA) Mkoa wa Arusha unaongoza kwa kuwa na Taasisi nyingi zenye viashria vya rushwa kwenye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wadau mara nyingi nasikia tcra inapambana sana kwenye maadili hasa swala zima la kwenye media na sasa hivi kuna matangazo nayaona kwenye tv usitume ujumbe wa uchochezi vip hawa bbc swahili katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Samahani kwa yeyote anefahamu treni inayoelekea njia ya Kilombero Mang'ula ni ile inayoenda Zambia abiria anapandia pale Tazara au? Je first class ni bei gani na neo nyingine kwa ujumla?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukiua sharti uuawe. Ila ukiua bila kukusudia ungependa ufanywe nini? Enzi za Biblia,mtu anapoua bila ya kukusudia,ili asiuawe ilimbidi akimbie na kujificha kwenye moja ya miji sita ya kimbilio...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ile bar ya pale Kilimani Baracuda haiitwi "ze griti" inaitwa "ze greti" Kwa English ikiandikwa the great inasomeka "greti". Ni hayo tu, maana nawasikia wengi wakiita ze griti.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo ameahidi kuwa wizara yake itakuwa mfano bora wa kumsaidia Rais John Magufuli ili apate kura za kutosha bila kufanya kampeni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na Kata ya Kinyeto mkoani Singida inaweza kuwapa picha halisi; wanaume wanataka wazae watoto wengi ili kizazi kipanuke, baadhi ya wanawake wanataka wazae hadi mayai yaishe ili kujaza nyumba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baadhi ya Traffic Mungu anawaona kwakweli. Fanyeni kwa utaratibu na sheria sio kukomoana sio vizuri. Hii ni Nchi yetu sote ni wakati wa kupaswa kusema au kuongea kila kilicho kwenye utaratibu na...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amewatahadharisha wananchi wa Mkoa huo kujihadhari na mvua zilizoanza na upepo ulioezua baadhi ya paa za nyumba na vituo vya kutolea huduma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tony Douglas, Group Chief Executive Officer, Etihad Aviation Group Abu Dhabi, UAE – The Chairman of Etihad Aviation Group, His Excellency Mohamed Mubarak Fadhel Al Mazrouei, today confirmed the...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Siku saba tangu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kuwataka wakuu wa mikoa na wilaya kuacha tabia ya kuwaweka mahabusu watumishi wa umma kwa makosa ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom