Hii ya kufungua Club ya dini imekaaje wakuu?

Kazitunayo

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
3,622
2,000
Kuna club inafunguliwa maeneo ya mbezi beach inaitwa LA club itakua inapiga nyimbo za dini tupu,mavazi ya heshima na vinywaji ni soda na juice tu katikati ya mziki kutakua na maombi alaf mziki kama kawaida..naombeni maoni yenu
 
Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,206
2,000
!
!
kwani club ni nini mkuu!.....
1. group of people organized for a social, literary, or other purpose e.g. an athletic club
2. The building or rooms occupied by such a group
3. an organization that offers its subscribers certain benefits, as discounts on purchases: e.g. a book club au kama hiyo unayoilalamikia
 
Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,943
1,500
Kuna club inafunguliwa maeneo ya mbezi beach inaitwa LA club itakua inapiga nyimbo za dini tupu,mavazi ya heshima na vinywaji ni soda na juice tu katikati ya mziki kutakua na maombi alaf mziki kama kawaida..naombeni maoni yenu

....katafute dictionary utapata majibu,tatizo liko kwenye tafsiri tu...
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,452
2,000
Usiniambie muda wa kuingia LA Club ni usiku? Je, rstiba ni kila juma pili au?
 
SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
2,140
2,000
ni kweli kabisa hii club ya kilokole itafunguliwa soon na mmiliki wake ni MCHUNGAJI HARRIS KAPIGA WA KANISA LA NCHI YA AHADI. pia night club hii ilishaandikwa hata kwenye gazeti la nyakati.
 
Isalia

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,153
1,500
ni kweli kabisa hii club ya kilokole itafunguliwa soon na mmiliki wake ni MCHUNGAJI HARRIS KAPIGA WA KANISA LA NCHI YA AHADI. pia night club hii ilishaandikwa hata kwenye gazeti la nyakati.

Hakuna tatizo wakati ndani ya kanisa kunarindima vinanda
 
MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,935
2,000
ni kweli kabisa hii club ya kilokole itafunguliwa soon na mmiliki wake ni MCHUNGAJI HARRIS KAPIGA WA KANISA LA NCHI YA AHADI. pia night club hii ilishaandikwa hata kwenye gazeti la nyakati.

Huyu kijana naye ni mchungaji siku hizi? Alishaacha michezo michafu!
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,381
2,000
Kuna club inafunguliwa maeneo ya mbezi beach inaitwa LA club itakua inapiga nyimbo za dini tupu,mavazi ya heshima na vinywaji ni soda na juice tu katikati ya mziki kutakua na maombi alaf mziki kama kawaida..naombeni maoni yenu

muulize mwasisi wa mpango huu - ameona kuna mapungufu gani kwenye makanisa, semina na mikutano ya kiroho ambako haya yote aliyoyataja yanapatikana? labda kama anaanzisha dhehebu jipya!!
 
Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,669
1,500
Nimesiki wakiinadi clauds... msemaji wa hiyo club anasema ndani kutakua na mwanga hafifu, kama club za kawaida, HIVO WALE WENYE HAIBA KUCHEZA KWENYE MWANGA ITAWAFAA!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom