wadau habari zenu naomba mnijuze hii bomowa bomowa naona sasa inarudi kinyume nyume badala ya kwenda mbere tumeambiwa ujenzi wa barabara unaanzia kimara mlandizi na kuendelea sasa leo wanavuja...
Habari za Majukumu Walipa Kodi Wenzangu
Mteja angependa kupata ufafanuzi Kutoka TRA-Morogoro juu ya aina hii ya faini.
Tarehe 20/01/2017,mteja alikwenda TRA-Morogoro kufanyiwa makadirio...
Kumekuwa na mambo yanayo endeshwa na tigo fiesta na clouds media kwa kusema sijui wanafundisha au kumjengea uwezo wa uchumi mimi napinga kwa herufi kubwa nimefuatilia muda mrefu semina zao wao zao...
Watu wengi hupenda kuwasema wazaramo ni waongeaji, mara wazaramo hivi lakini asikwambie mtu katika makabila yote Tanzania sijawahi kuona watu wenye roho nzuri kama wazaramo na wakarimu kama...
Mkazi wa Mtaa wa Mitandi Lindi Mjini, Mussa Hassan (35) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na kulipa fidia ya Sh1 milioni, baada ya kukutwa na makosa ya kubaka na kumpa mimba mwanafunzi wa...
Mamlaka ya udhibiti wa mbolea Tanzania TFRA imeanza operesheni maalum kuwakamata na kuwachukulia hatua wamiliki wa maduka ya pembejeo za mifugo wanaouza mbolea bei juu ikilinganishwa na bei...
Serikali mkoani Lindi imepanga kuwafukuza mjini watu wasiokuwa na nyumba bora kwani ndio wanachangia kuharibu taswira ya mji na kufanya udumae na serikali haitawavumilia
Wakuu naombeni msaada ktk hili ili taratibu tuanze jifunza uchumi siasa wa bongo ili mambo mengine yasijekuwa ndio fashion.
Hivi ikitokea watu walioaminiwa kma mhasibu na mweka saini mwingine...
Napenda kuwafahamisha wahusika hao kama nilivyowataja hapo juu, kuwa wananchi wenu wanateseka na wametapakaa kila mahali wilayani Karatu wakiomba misaada ya kupatiwa mahindi ili watume makwao na...
MWANASHERIA Grace Timoth ameiomba Serikali kuruhusu kesi zinazohusu mimba kwa wanafunzi, kuendeshwa na mahakama za mwanzo, badala ya mahakama za wilaya.
Amesema hali hiyo itawaondolea mzigo...
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB), Joseph Haule
BODI ya Mfuko wa Barabara imeziamuru halmashauri saba nchini zilizotumia zaidi ya Sh milioni 359.5 zilizotolewa kwa ajili ya kujengea...
Chondechonde wahusika mliangalie hili kwa jicho la tatu, yanaruhusiwa kutoka Kimara dak 30, ataruhusu tena kutoka posta dak 30, ila kazi ipo yanayotoka Buguruni ni dak 5 tu si zaidi anastop. Sasa...
Wadau,
Ningenda tu kuwatanabaisha wanajamvi wenzangu kuhusu jambo hili. Kwa sababu inawezekana wengi habari zao zinavuja bila wao kujua.
Sana sana kwenye mitandao kama JF pale ambapo watu...
Mahakama moja nchini Kenya imewatoza faini ya sh 20,000 au kwenda jela miezi mitatu watu wenye ulemavu kutoka Tanzania ambao walikuwa wanaombaomba katika mji wa Kerugoya.
Wakati huo huo msako...
Baadhi ya wachimbaji madini ya dhahabu wadogo wadogo wawameulalamikia uongozi wa mgodi wa Ilindi uliopo wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga kwa kuwauzia maeneo ya uchimbaji kiasi cha shilingi...
Salam ndugu zangu wapendwa! Tunapambana na hali zetu.
Nipo safarini natoka Kasulu Kigoma kuelekea jijini Arusha, kituo changu kipya cha kufanyia kazi. Ni jiji ambalo ni mara yangu ya kwanza...
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Morogoro imefungia chuo cha uuguzi cha Tanzanite College of Nursing kinachadaiwa kujiendesha bila kibali huku wanafunzi zaidi ya 300 wakitapeliwa fedha kwa...
Nimeona magazeti ya NIPASHE na The Guardian yameungana na magazeti ya serikali kutokuandika habari kubwa kwa sasa hivi hapa nchini inayohusu ushahidi uliotolewa jana wa kununuliwa kwa madiwani wa...
Habari!
Je! Chuo kinaweza kusajiliwa bila ya Choo??
Prof. Mlacha amefungua chuo kinachoitwa Kachenje Training Institute (KATI)... Kituko ni kwamba kilipatiwa Usajili kikiwa hakijakamilika.
#1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.