Funzo la maisha. Usirudie kosa.

Funzo la maisha. Usirudie kosa.

jbernad2

Senior Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
112
Reaction score
86
Umejifunza Nini Tukio la Zamaradi na Ruge. Unadhani ni sahihi Shilawadu na Wanachomfanyia Zamaradi. Mdau Tiririka hapa tujifunze wote tusirudie makosa.
 
Ni kupamabana na hali yako tu Mkuu
 
Kila mtu anatumia silaha aliyonayo.Bashite atamnyoosha Ruge kwa silaha zake soon.
 
Hebu wekeni wazi hapa maana wengine hatujui shilawadu ndo wapi.
 
nikajua mtu kakosa penati mara 2 kumbe mambo ya wazinzi wawili.
 
Back
Top Bottom