masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,608
- 14,552
Kati ya ma IGP wa miaka ya karibuni, IGP Simon Sirro ni kamanda wa maaskari.
Ukimfuatilia utendaji wake si mtu wa mchezo mchezo na yuko fiti.
Hii picha ya Nipashe leo 1/10/2017,inajieleza.
Tunashukuru wale makamanda wenye vitambi mizigo, sasa wamepotea.