Ikiwa ni miaka 100 imepita tangu Mama yetu Mwombezi Bikira Maria awatokee watoto Watatu Lucia,Fransisco na Jasinta katika nchi ya Ureno leo Baba Mtakatifu Fransic amewatangaza Rasmi Fransisco na...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ametolea ufafanuzi kauli yake na kusema kuwa hajasitisha mashindano ya Miss Tanzania na tuzo za muziki nchini bali ametoa...
Sio kwa ma DC tu, kwa ujumla Arusha inanuka kwa rushwa
Leo tena nimeshuhudia kampuni ya kipigaji ya Wrong parking ikikamua rushwa kwa Bibi mmoja mhenga wa miaka kama 70, mlezi wa kituo kimoja cha...
Leo ndio siku ambayo ambayo mtandao huu mpya umezindua huduma zake nchini Tanzania lakini kwanini ninauona kuwa hautafanikiwa.
Mtandao huu tayari wazawa wameshaingizwa kwenye top management hivyo...
Wadau,
Clip hii sijui ni shule gani lakini yaonekana ni hapa nchini kutokana na sauti ya dada inayosikika kwenye background.
Hata kama huyo kijana amekosa vipi si angepelekwa vyombo vya sheria...
SERIKALI imeeleza kwamba matatizo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ni kulipwa kwa wanafunzi hewa, ubadhirifu wa fedha na kuwepo kwa watendaji wanaohusika kuweka fedha za...
Mnahangaika huku na kule kutafuta michango ya kulipia matibabu ya Tundu Lisu, kwa nini hao Wazungu mnaoshinda kwenye Balozi zao kila siku kuichongea nchi yangu iwekewe vikwazo hawajamchukuwa...
Tuchukulie Mungu kakunuku ukawa spika wa bunge hili kwenye video.Angalia halafu ushauri nini kifanyike.Nitoe ushauri wa kwanza.Ukaaji wa wabunge ni hatarishi kiusalama kwa wabunge na spika.wawe na...
Mh Rais Kwanini kila hotuba yake haachi kutaja watumishi hewa ?
Anapo toa hotuba hoja zake ni zile zile kana kwamba ni recorded au ndo huna jipya tena Rais Wetu?
Pia swala la mkuu wa mkoa yeye ni...
Takriban mita 700 kusini mwa barabara ya Nachingwea-Liwale pembezoni mwa kisima kifupi cha wazi katika Kijiji cha Lionja B, Severine Conrad (16) anakunywa maji kwa kutumia kidumu kidogo cha lita...
Rais JPM anatuamsha usingizini.
Nyongeza Ya Mshahara haijawahi kuwa keki hadi iletwe mezani kwenye kisosi.
Suala hili la nyongeza Ya Mshahara kwa sekta ya umma binafsi nalitazama katika mtazamo...
Watumishi wa umma wakati umefika wa kuvibana vyama vya wafanyakazi kukutana na Serikali kuzungumzia maslahi ya watumishi.
Nakumbuka Mei mosi 2016 mkoani Kilimanjaro Mh.Rais alikubali ombi la...
Kwa jinsi serikali inavyosema haihusiki (kama alivyoongea Emmanuel Nchimbi) je, hivi serikali inaweza kuhusika kwenye mambo haya yote ya kikatili kwa wananchi wasio na hatia ambao ni bread winners...
Kwa hisani ya Malisa GJ.
Tarehe 14/07/2017 CCM ilitangaza kuwa baadhi ya wanachama wa Chadema mtaa wa KDC, Moshi wamejiunga na CCM. Wanachama hao walipokelewa na aliyekuwa msemaji wa JWTZ Kanali...
SHAMBA la Frederick Sumaye lililoko Kisarawe mkoani Pwani, liko hatarini kuchukuliwa na halmashauri ya wilaya hiyo na kuligawa upya, kutokana na Waziri Mkuu huyo mstaafu kushindwa kuliendeleza...
Gari za abiria hazina seat belt hususani Coster , Abiria wabakalishwa 5 _ 5 alafu eti , kuna chama cha kutetea Abiria
Juhudi za Rais zinarudishwa nyuma na Askari wahusika wa hii kitu
Salaam kwenu wadau wa Jf!
Siku za hivi karibuni nimekuwa nasikia na kushuhudia baadhi ya wanafamilia,watu wa vyama vya siasa na waumini wa dini/madhehebu kugombea kumzika maiti hadi inafikia...
Bundi ametua ndani ya chama cha na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro kufuatia madiwani sita wa Halmashauri ya Moshi, kutakiwa kujieleza kwa usaliti.
Kufuatia tuhuma hizo Katibu wa Chadema...
GAIDI kwa Kiswahili in maana nyingi zikiwemo jambazi (bandit) mpiganaji vita vya msituni (guerilla) TV gaidi (guide) haramia (plunderer) mwizi wa kutumia nguvu (robber) na mwizi (thief).
Kama...