Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanajamvi, imekuwa ni jambo la kawaida kwa mabasi kutoka Mwanza Tukuyu Songea Mwanza Kigoma kuzuiliwa Morogoro. Pamoja na nia nzuri ya usalama lakini abiria wanateseka sana hasa ukizingatia...
6 Reactions
167 Replies
20K Views
Habari zenu familia ya JF. Niende moja kwa moja kwenye lalamiko hapo juu. Mi ni msikilizaji wa mambo mseto ya Radio one kinachorushwa kila jumapili saa tatu hadi saa nne usiku. Maripota wengi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amesema haridhishwi na hali ya usafi wa mazingira wilayani humo, hivyo amewataka viongozi kuwajibika ipasavyo. Amewataka watendaji wa kata...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Huu uzi ni kwa ajili ya kujuzwa/kuhabarishwa tu Naam swali langu ni je kuna sheria yoyote inayo regulate/control makazi ya Rais wa jamhuri ya Ya muungano wa Tanzania Nimejiuliza je Rais ajaye...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
IQ ni kifupi cha Intelligence Quotient, IQ ni kipimo cha akili yako na imeelezwa kwa namba. IQ ni kipimo kinachoonyesha uwezo wa akili katika nchi. Nchi 10 zenye uwezo mgodo wa IQ Duniani. 1...
8 Reactions
75 Replies
17K Views
Habari wanabodi, Marais waliopita ambao ni watangulizi wa JPM wamesemaje kuhusu mafao ya watumishi hewa na hatua zinazochukuliwa dhidi yao? Wapo kimya! Kiutendaji, hawa ndio watu muhimu kabisa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hello everybody, My name is Hannah Gebhardt. I live in Germany. Up from november until march I will be in Tanzania. I'm interested in agricultural stuff and and have some knowledge about cattle...
3 Reactions
4 Replies
797 Views
Habari wanabodi, Marais waliopita ambao ni watangulizi wa JPM wamesemaje kuhusu mafao ya watumishi hewa na hatua zinazochukuliwa dhidi yao? Wapo kimya! Kiutendaji, hawa ndio watu muhimu kabisa...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Mara ya Mwisho kusikiliza hotuba za Marais wa Tanzania nilimsikiliza Rais Mkapa na kiukweli kama Mkapa asingekuwa CCM akili alikuwa nayo, sema basi tu. Toka pale nikaja kujaribu kumsikiliza...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Mvua kubwa iliyoambatana na mawe, imeharibu nyumba na mashamba na kujeruhi watu 3 kwenye kata za Mbunda Buganguzi na Ibuga wilayani Muleba Kagera DC wa Muleba Mhandisi Richard Luyango alifika...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Mabadilikiko ni muhimu ktk maisha ya kila mwanadamu. Yanafanya mtu kuwa mbunifu, yanaleta opportunities kwa wale wenye elimu bora. Yanafanya watu wawe na uwezo ukubwa wa kusolve problems na...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Tunaendelea na ufunuo wa siri ya namba saba...kwenye mwendelezo huo wa siri ya namba saba leo hebu tujadili hizi dhambi saba ambazo ndio kama mizizi saba ya dhambi zote za ulimwengu huu...kwamba...
29 Reactions
130 Replies
18K Views
Kituo cha huduma cha pamoja cha ushuru na forodha cha Rusumo wilayani Ngara kimeanza kufanya kazi kwa masaa 24 ikiwa ni mkakati wa pamoja wa Tanzania na Rwanda ili kupunguza msongamano wa wateja...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu Kuna utafiti naufanya hapa, naomba mwenye nyaraka zifuatazo anitumie au kunielekeza ninapoweza kuzipata kwa haraka 1. Katiba ya chama cha mapinduzi toleo la mwaka 2017 2. Kanuni za...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Leo kwa kweli kwenye habari ya Saa 2 usiku mmekosea sana. Badala ya kupata mahojiano mlioandaa mnaleta habari tofauti kabisa. Baada ya hapo mkaamua kuleta habari kutoka Moshi bado mkachemka...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Baada ya kukosa soko la uhakika kwa miezi mitatu huku wakulima vijijini wakilazimika kuuza mbaazi zao kati ya Sh150 na 200 kwa kilo, hatimaye masoko matatu yamepatikana nje ya nchi. Masoko hayo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama mada inavyojieleza hapo Uzi huu ni kwa ajili ya kuwasilisha ombi langu kwa kampuni ya Kitanzania inayotengeneza pombe Kali kama Konyagi,Valuu na zinginezo inayojulikana kama Tanzaniania...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Leo kuna mkutano wa Shirika la MajiSafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) na waandishi wa habari na unafanyika hapa Gerezani makao makuu ya DAWASCO. Ni kuhusu Application ya DAWASCO APPLICATION...
7 Reactions
38 Replies
14K Views
Naona Kuna malalamiko mengi kuwa kwanini matukio ya uhalifu yanatokea lakini maeneo hayo kunakuwa na ulinzi wenye silaha. Tukumbuka matukio ya vituo vya Polisi vilivyovamiwa na wahalifu wakaua...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Utawala huu wa Magufuli hatujibu hoja hata iwe ukweli kiasi gani sisi tunajibu matusi, na kulaumu chama cha kijana kwa kila jambo. Tunataka mabadiliko lakini hatujajiaandaa kubadilika, kitu...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom