Waliohamia CCM, Warudi CHADEMA....

Waliohamia CCM, Warudi CHADEMA....

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
651
Reaction score
855
Kwa hisani ya Malisa GJ.

Tarehe 14/07/2017 CCM ilitangaza kuwa baadhi ya wanachama wa Chadema mtaa wa KDC, Moshi wamejiunga na CCM. Wanachama hao walipokelewa na aliyekuwa msemaji wa JWTZ Kanali Ngemela Lubinga, ambaye kwa sasa ni Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa wa CCM, na kujengewa shina mtaani hapo. Vijana hao baada ya kusikia madiwani wa Chadema Arumeru walinunuliwa kwa rushwa, wameamua kuvunja msingi huo uliojengwa kwa ajili yao na kutangaza kurudi Chadema.!

ctoc.jpg
 
View attachment 601042
umekuja kwa ghafla sana tulia,tupe habari kamili
 
Si mlisema Arusha hata mkiweka Jiwe chadema watalichagua, sasa hizi drama zote za nini? Kwa nini msiwaache waende?
 
Hao watakuwa walisajiliwa kwa mkopoo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hisani ya Malisa GJ.

Tarehe 14/07/2017 CCM ilitangaza kuwa baadhi ya wanachama wa Chadema mtaa wa KDC, Moshi wamejiunga na CCM. Wanachama hao walipokelewa na aliyekuwa msemaji wa JWTZ Kanali Ngemela Lubinga, ambaye kwa sasa ni Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa wa CCM, na kujengewa shina mtaani hapo. Vijana hao baada ya kusikia madiwani wa Chadema Arumeru walinunuliwa kwa rushwa, wameamua kuvunja msingi huo uliojengwa kwa ajili yao na kutangaza kurudi Chadema.!

View attachment 601042
Mabadilikooooooooooo?
 
Kama ni hela huku kaskazini zitaliwa, kwenye sanduku la kura mtu anafanya kitu kingine kabisa !!!!
 
Safi sana! Walidhani ni ule mkoa wao wa Dodoma!
 
Si mlisema Arusha hata mkiweka Jiwe chadema watalichagua, sasa hizi drama zote za nini? Kwa nini msiwaache waende?
Ww Vp! Kwani Wameombwa Kurudi? Wao Wameona Mizinguo Huko Kwny Nzi Wa Kijani Wameamua Kurudi Nymbn. Hata Wale Madiwan 10 Walionunuliwa Watarudi Tu. Kule Wameenda Kula Hela Za Wajinga Then Wanawaachia Vumbi!! Kaskazin Wapo Very Smart Kichwani Achana Nao Kabisa.
 
Back
Top Bottom