Pope Fransic awatangaza Jasinta na Fransisco kuwa Watakatifu(Saints)

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Ikiwa ni miaka 100 imepita tangu Mama yetu Mwombezi Bikira Maria awatokee watoto Watatu Lucia,Fransisco na Jasinta katika nchi ya Ureno leo Baba Mtakatifu Fransic amewatangaza Rasmi Fransisco na Jasinta kuwa Watakatifu.

Akiwa ziarani Ureno Baba Mtakatifu amewatangaza Watakatifu hao katika Ibada ya Misa Takatifu iliyofanyika Leo ikiwa imehudhuria na watu maelfu kwa Maelfu na pia Watoto wawili mmoja akiwa kutoka Brazil ambaye amepokea uponyaji kwa maombezi ya Watakatifu Jasinta na Fransisco wameweza kushiriki misa hiyo na kukutana na Baba Mtakatifu.

Hongera Kanisa Kwa kupata Watakatifu na Waombezi Wengine.

Saints Jasinta and Fransisco prays for Us.

Angalizo Nimetoa ujumbe Sipendi Majibishano yoyote ya kidini yasiyo na Mantiki kama unaona haikuhusu ni bora ukasoma na kutoandika chochote.
 
1494708243116.png
1494708255516.png
1494708265324.png

picha ya 3 ni kijana wa Kibrazil aliyekua na Brain Damage ila kwa kupitia maombezi ya watakatifu Jasinta na Fransico amepokea uponyaji.
 
Back
Top Bottom